TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Yanga bila kufanya vile mpaka leo ingekua kama sembo,,,lakini kwa utashi na umakini na kujivika bomu la kuthubutu kuwafukuza mabwana wale,,ndio maana leo hii tunaringa na makombe yetu mtaani,,huku nyie mkiwaonea haya aveva na kabulu,,amkeni nyie sembo..ndiomaan kila mkiamka kumekucha,, saa hii mmeamkia fifa.....

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Hivi nimecheka kuona timu mbili kongwe - mashabiki wanabishana nani bora ktk ujinga. Viongozi wapande mbili zote wapiga dili na eti washabiki hawalijui hilo?? Yale yale ya nyani haoni ..... anacheka la mwenzake. 🙁🙁🙁
Soma post njoo na hoja,,,we msomali nini

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom