TAHADHARI: Hizi Faida na Hasara za Kucheza au Kuziita Roho Zisizoonekana kwa kutumia ubao wa Oujia

Haya mambo sitaki hata kujaribu kuyafanya sitaki linikute Jambo nikakutana na MIMI mwingine sasa MIMI kisanga huyo mwingine atakuaje?
Ninachostaajabu, kila mleta mada kuelezea jambo hili, ni lazima akosee mpangilio wa kialphabet kuliandika!

Ni neno fupi lakini kila mwandishi lazima alikosee, why!
OUIJA, lakini kila mleta mada lazima aandike OUJIA!
 
Una joto? Mbona unaingiza habari za kikahaba?? 😏😏
Watafute wale wapenzi wa hizo story mliozoeshana kuongea utumbo, hapa umepotea njia..!!
Hawa vijana aisee.

Wakiona id ya kike tu basi mawazo yao ni kwenye mizagamuo tu bila kujali uzi unahusu nini..
Pamoja na jf kua na jukwaa la mapenzi lakini bado vijana hawapitii utelezi.

Msamehe bure.
 
Ushirikina upo wa aina nyingi sana, mwingine unatumika kupitia maisha ya kila siku hata haujui kama ni ushirikina.

Mfano; pesa unayotumia unajua ina uchawi?.
Pesa ina uchawi katika mrengo gani?
 
Hawa vijana aisee.

Wakiona id ya kike tu basi mawazo yao ni kwenye mizagamuo tu bila kujali uzi unahusu nini..
Pamoja na jf kua na jukwaa la mapenzi lakini bado vijana hawapitii utelezi.

Msamehe bure.
Tatizo hawafanyi kazi ndiomana muda wote miili inawanyevua 😹😹😹
 
Ushirikina huu
Jambo lolote ukifanya na kukuletea vitu visivyoonekana kwa macho halisi wao wanaita shirki, ila kuna namna ya kisomi ambayo siyo shirki kama kujenga madaja kisha baadhi yao wakafa kizembe wkt wa ujenzi ila wao hawafi, πŸ˜€!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…