Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Umeanza uongo wewe. Haya tuambie uchawi wake ni upi??Ushirikina upo wa aina nyingi sana, mwingine unatumika kupitia maisha ya kila siku hata haujui kama ni ushirikina.
Mfano; pesa unayotumia unajua ina uchawi?.