Uchaguzi 2020 Tahadhari kubwa: CHADEMA msipompitisha Lissu, mmekwisha. Si ajabu msipate hata Diwani mmoja. Mbowe take note

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note!

Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi kitakapoeleweka!
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
 
Uchaguzi huu CHADEMA wanaenda kuabika vibaya sana...hawana watu wakugombea nafasi nyeti
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Wako waliosema wakulima wa korosho watalipwa cash. Hadi leo bado wanadai na aliyesema ameshapitishwa kwa 400%.
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Wewe Kama nani unayaongea hayo? Kama bosi mkuu ni mama'ko pale tume Basi sawa mkuu hatutapinga!
 
Mandela alikuwa na kesi kubao na akafungwa maisha lkn alivyo chomoka tu akawa rais wa south Africa

Back
Top Bottom