Uchaguzi 2020 Tahadhari kubwa: CHADEMA msipompitisha Lissu, mmekwisha. Si ajabu msipate hata Diwani mmoja. Mbowe take note

Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note! Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi kitakapoeleweka!

Nimeamini jf ni jukwaa maalum la kudanganyana kama watoto wadogo.
 
Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note!

Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi kitakapoeleweka!
Ni Lissu msihofu wapiganaji.
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
NEC itawakata wagombea wote wa CHADEMA kama katika uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note!

Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi kitakapoeleweka!
Kwa hivyo watupilie mbali Democracy, na wafanye uchaguzi wa ki Dictator. Mbona mnafanya Lissu Mungu Mtu. Mna system na mkiivunja hiyo sheria na system yenu, basi mjue hamna haki ya kulalamikia serekali ifanyapo yake. You loose all legal right to criticize
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Ajili kiduchu hizi!
 
Back
Top Bottom