Wako waliosema wakulima wa korosho watalipwa cash. Hadi leo bado wanadai na aliyesema ameshapitishwa kwa 400%.Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Wewe Kama nani unayaongea hayo? Kama bosi mkuu ni mama'ko pale tume Basi sawa mkuu hatutapinga!Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Mwananchi wakawaidaWewe Kama nani unayaongea hayo? Kama bosi mkuumama'ko pale tume Basi sawa mkuu hatutapinga!
Basi utakuwa umevimbiwa boss.Mwananchi wakawaida
Ukweli mtupu!
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Uchaguzi huu CHADEMA wanaenda kuabika vibaya sana...hawana watu wakugombea nafasi nyeti
Ukweli mchungu, lissu ataungwa mkono na watu wengi sana.Tofauti na jpm mbaguzi
Tusitishane meku!