Uchaguzi 2020 Tahadhari kubwa: CHADEMA msipompitisha Lissu, mmekwisha. Si ajabu msipate hata Diwani mmoja. Mbowe take note

Nimeamini jf ni jukwaa maalum la kudanganyana kama watoto wadogo.
 
Ni Lissu msihofu wapiganaji.
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
NEC itawakata wagombea wote wa CHADEMA kama katika uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Kwa hivyo watupilie mbali Democracy, na wafanye uchaguzi wa ki Dictator. Mbona mnafanya Lissu Mungu Mtu. Mna system na mkiivunja hiyo sheria na system yenu, basi mjue hamna haki ya kulalamikia serekali ifanyapo yake. You loose all legal right to criticize
 
Hahaha bahati mbaya sifa hana...ana mikesi chungu nzima, hiyo tisa, kumi ni katika issue za madini 'makanikia' upande aliokuwa akiutetea kwelikweli 'acacia' ilidhibitika walikua totaly wrong...so uhalali wakupewa fomu ya kugombea nafasi nyeti hana
Ajili kiduchu hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…