Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hili ndio dokezo tulilopewa kutoka miongoni mwa watekaji na wakamataji
Inaelezwa kwamba lengo la jambo hilo la kiharamia ni kuwaogopesha wananchi kuandamana octoba 29 inayokuja, ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mauaji ya kishamba ya halaiki huku takwimu sahihi za waliouawa zikigonga elfu 17
Tunatoa wito kwa viongozi na wanachama wote wa Chadema kuwa makini katika kipindi hiki ambacho wamewekwa kama Target ya wauaji.