Tahadhari: Kuelekea Octoba 29 Viongozi na wanachama wengi wa Chadema kutekwa, kukamatwa na wengine watauawa

Hili ndio dokezo tulilopewa kutoka miongoni mwa watekaji na wakamataji

Inaelezwa kwamba lengo la jambo hilo la kiharamia ni kuwaogopesha wananchi kuandamana octoba 29 inayokuja, ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mauaji ya kishamba ya halaiki huku takwimu sahihi za waliouawa zikigonga elfu 17

Tunatoa wito kwa viongozi na wanachama wote wa Chadema kuwa makini katika kipindi hiki ambacho wamewekwa kama Target ya wauaji.
Hakuna kunguni wa kuandamana,acheni kujaza watu upepo
 
Hili ndio dokezo tulilopewa kutoka miongoni mwa watekaji na wakamataji

Inaelezwa kwamba lengo la jambo hilo la kiharamia ni kuwaogopesha wananchi kuandamana octoba 29 inayokuja, ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mauaji ya kishamba ya halaiki huku takwimu sahihi za waliouawa zikigonga elfu 17

Tunatoa wito kwa viongozi na wanachama wote wa Chadema kuwa makini katika kipindi hiki ambacho wamewekwa kama Target ya wauaji.
Kama nyie ndio mlileta vurugu mshughulikiwe ipasavyo,Tanzania sio banana Republic
 
.
 
Attachments

  • 6415691-4b4d6201ed6b5b5735c16b5fa650b075.mp4
    19.1 MB
  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Back
Top Bottom