Tahadhari: Kuelekea Octoba 29 Viongozi na wanachama wengi wa Chadema kutekwa, kukamatwa na wengine watauawa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hili ndio dokezo tulilopewa kutoka miongoni mwa watekaji na wakamataji

Inaelezwa kwamba lengo la jambo hilo la kiharamia ni kuwaogopesha wananchi kuandamana octoba 29 inayokuja, ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mauaji ya kishamba ya halaiki huku takwimu sahihi za waliouawa zikigonga elfu 17

Tunatoa wito kwa viongozi na wanachama wote wa Chadema kuwa makini katika kipindi hiki ambacho wamewekwa kama Target ya wauaji.
 
Mkuu acha kutoa taharuki. Maandamanao yako palepale. And this time around........ let me shut up my mouth!!
 
hii ni porojo nonsense sana gentleman
 
Sasa watakua wana zuia au wana chochea
 
Washauri wasijichanganye la sivyo mtalialia sana baada ya Oktoba 29.
 
Kuanzia jana Hadi leo zaidi ya wanachadema 10 wamekamatwa na kutekwa, magari ya DFP yanatumika

Hatuandiki kibwege

Kingine ni hiki, kuniita mwanaharakati umenipaisha sana, nakushukuru
 
Tunatoa wito kwa viongozi na wanachama wote wa Chadema kuwa makini katika kipindi hiki ambacho wamewekwa kama Target ya wauaji.📌🔨❕❗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…