Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/ Bubu/ Hewa.
Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/ Bubu/ Hewa ukawa ni bahati mbaya.
Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.