Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Kumbe ndio maana walikuwa wanakomaa kuengue wagombea wa CDM. Walitaka watumie Majimbo waliyoengua wagombea wa Upinzani kama kichaka cha kupitishwa wapiga Kura Feki.

Hivyo, CDM na ACT fanyeni uhakiki wa kina na waanze Jimbo la Ruangwa Kwa Majaliwa. Jimbo na Mtama wa Nape, mzoefu wa bao la Mkono na maeneo mengine Ili kubaini vituo Feki vingine.
 
Vituo HEWA vimetapakaa nchi nzima CHADEMA/ACTwazalendo Chukueni hatua tukiviumbua CCM wanaondoka
Nawaomba WAZAZI wote wenye WATOTO wanaorubuniwa na ZUNGU kataeni Watoto wasitumike kwenye SIASA za KIJINGA.
 
Yeyote mwizi wa Kura au mhujumu wa Kura ni halali yetu
 
Kitatoka ikiwa kutakuwa na tume huru.matokeo tayari yanajulikana.wamecheza rafu
Ni mjinga tu ndo atayakubali
Watatoka Kwa Nguvu ya Umma tu mana kamwe hawawezi kutenegeneza Tume Huru wala Katiba Mpya kwani wanajua ndio kihama Chao.

Ni nguvu ya Umma pekee ndio itakayotuweka Huru dhidi ya wakoloni hawa weusi tiii.
 
Raia waelekezwe hivyo vituo hewa vipigwe moto haraka sana. Hata kama kiko nyumbani kwa mtu, ipigwe moto haraka! Kulialia hakutatusaidia!
 
Raia waelekezwe hivyo vituo hewa vipigwe moto haraka sana. Hata kama kiko nyumbani kwa mtu, ipigwe moto haraka! Kulialia hakutatusaidia!
Naam kumbuka kutembelea kituo cha kuwekea Petroli kawasalimie
 
kama wanapendwa na wamefanya mengi mazuri mbona wanatokwa jasho la meno hivi hahahahaha
 
Tuna awamu ya hovyo sana.
 
Kabisa ccm wanacheza mchezo mchafu kwa kutumia NEC tusikubali.
 
Any dirty trick should be mercilessly dealt with loudly. NEC are all out for ghost voters and fake polling stations to ensure CCM's victory.
 
Kingine ni kuwaamisha watu wasiende kupiga kura ili wafuasi wa chama kimoja wawe wengi.
 
Vituo feki vimetapakaa Tanzania nzima ndugu zangu wapenda AMANI vitangazeni msikae kimya Balozi wa Marekani anataka ushahidi ili Mahera nae aorodheshwe kwenye List.
 
Hakuna raha Kama ukiwa KIONGOZI ulie chaguliwa ki halali na watu.....
Rigging election results,
Ni kitu kibaya Sana lazima utaongoza
Nchi kwa visasi na Hautakua na furaha Wala AMANI ya Nafsi
maana unajua fika haukua chaguo la watu...
Hawa watu wamefika mahala dhamira haziwasuti hata kidogo. Wamezoea kutenda madhambi. Ni kipigo tu ndicho kitakachowashitua. Let's vote in masses.
 
Ninashindwa kuelewa mantiki/logic ya mpiga kura akikosea anapewa karatasi ya kupigia kura nyingine, kutumia vitambulisho mbadala ie.vitambulisho vya NIDA/leseni ya udreva/passport. Ndiyo sababu wapiga kura wengine wanasema ballot paper zimechapishwa hapahapa nchini kwa 7bu zingechapishiwa nje ya nchi gharama zingetisha, (dola za Marekani) hivyo ballot papers zingekuwa kwa idadi ya wapiga kura tu...ie mpigakura mmoja ballot paper moja.Binafsi mie ni mpiga kura tangu uongozi wa Mwl Nyerere ila sijawahi ona kura ukiharibu unarudia. Halikadhalika kitambulisho cha mpigakura ndio pekee huwa kinatumika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…