Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii.
Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa,
Nimewapigia Airtel jibu nililopewa ndiyo nilichoka kabisa! "Niliambiwa lazima nisubiri masaa 72 ya kazi yaani siku9 za kazi ndiyo watakuwa na jibu la kunipa kwa nini fedha hiyo haijafika au kunirudishia fedha yangu"
Nimejiuliza sana kwa Dunia ya sasa yenye mawasiliano rahisi inawezekanaje kuchukua siku Tisa kugundua shida ya muamala?
Tuwe makini sana na Airtel linapokuja swala la kutuma fedha kimataifa. Hawafai.