Tetesi: Tahadhari kwa CHADEMA kwenye mtandao wa Whatsapp

Mnaanza kuogopa vivuli vyenu wenyewe ?! Ni wazi fahari wawili hawakai zizi moja ! Tutasikia tu muda si mrefu.
 
Mm nilidhani Hawa Viazi Wangeunda Magroup Kuhamasisha Rais Atenguwe Uteuzi wa RC DSM kwa kuwa na Vyeti ambavyo sio vyako....wao wanajadili ushenzi.
 
Ha ha haaaaaa.. Ngoja na mimi nitengeneze "GO BASHITE" na "MAKONDA FOR LIFE"

Yaani UVCCM wanakua wanakinzana Mpaka wamvuruge JPM atoe maamuzi
 
Ngoja nijaribu kutuma M Pesa kwenye 0755078854 nione imesajiliwa kwa jina gani
 
Ngoja nijaribu kutuma M Pesa kwenye 0755078854 nione imesajiliwa kwa jina gani
Mkuu jina si limesha jitaja hapo L***E MBENA ila nimeipenda hii, safi sana CCM kwa kazi nzuri.
 
asante kwa info. Siwez kujiunga na group la kisiasa whatsapp kwasbb mamluki wa lumumba ni wengi
 
Mkuu umenirusha kweli aah nilifikiri vijana wa lumumba wameungana kwenda koromije kwenye sanduku la mzee bashite kuleta vyeti!
 

Hivi vimbwiga vilikolala ndiyo tulikoamkia,vitaishia kuolewa kule Mombasa kama yule kiranja wao.
 
Daaaa....kwahiyo makundi ya kigafidhina yasha anza kundwa mapema kabisa ili tu kuchafua atmosphere.
 
Wamechemka Mafisiem wanatafuta kiki ya mvurugano watavurugana wenyewe
 
Upo mpango mahususi unasukwa na Uvccm kupitia mitandao ya kijamii hasa magroup ya whatsup ukiwa na lengo la kutengeneza mfarakano baina ya Lisu na Mbowe!
Hii ni kutokana na Lisu kushinda urais wa TLS ikiwa ni baada mbinu zote zilizopangawa na ccm kushindwa kuvuruga uchaguzi, hivyo mbadala uliopo sasa ni kusuka mpango wa kuwafarakanisha!
Zipo link zinazunguka za kujiunga na magroup ya whatsup ambayo maudhui yake ni kueneza propaganda chafu ili wawili hao wafarakane!
Naamini mpango huo hautafanikiwa na umekwisha shindwa, uvccm wanatumika vibaya kufitini!
Mpango huo hautafua dafu, Mbowe na Lisu na cdm kwa ujumla wapo imara!
 
Mange Kimambi uko wapi kuna mtu kakutaja huku na namba yake ya simu inaonekana.Fanya mpango watanzania tujue cv yake anaweza akawa amezungusha. Ni msakatonge wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…