Tetesi: Tahadhari kwa CHADEMA kwenye mtandao wa Whatsapp

Kama wao wana aim kitu kimoja hawawezi kufarakana...


Ila kama wana personal interest juu na nafasi zao basii...wacha uvccm wawafarakanishe..
 
Mambo mengine tusiwe tunasumbuka nayo jamani, Mbowe na Lissu wanajitambua mno!
 
Mimi nadhani dawa sio kuwaogopa, nikuwalipua tu. Acha wachezee moto, wataungua tu.
 
Ha ha haaaa,hawana hataaa akili ya kupanga mikakati
 
Sasa hapa hawa si wamejivua nguo inamaana ndani ya kijigroup Chao hicho hicho Kuna moles.
Mbaya zaidi na namba zao za simu ziko wazi.Namtamani aliemwita Mange jina kisenge vile namba yake si ipo Mange amuwashie moto mpaka ajutem.
Mange atamuua kwa presha. Mpe siku 1 tu akiiona hiyo namba
 
Kweli ccm imeishiwa pumzi. Ni kama genge la wahuni wenye urohoo na tamaa ya madaraka. Mmeshindwa kuwaletea watanzania maendeleo mmeanza siasa chafu. Hiki chama kimegeuka kuwa genge la wahuni,wanafiki,wachawi,wapiga dilu na wa kujipendekeza.
CCM iishiwe pumzi kwa lipi? Uchaguzi mdogo uliopita mmeambulia kiti kimoja cha udiwani. Unategemea nini ? Kweli nyumbu ni nyumbu tu. Mwisho wa siku ni chakula cha mamba tu.
 
CCM iishiwe pumzi kwa lipi? Uchaguzi mdogo uliopita mmeambulia kiti kimoja cha udiwani. Unategemea nini ? Kweli nyumbu ni nyumbu tu. Mwisho wa siku ni chakula cha mamba tu.

Mengine 9 tusaidieni suala la Daudi Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…