cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Mar 19, 2017 #61 Mbona hujaweka link ya kujoin groups zingine? Umeleta porojo tu kutaka watu waingie kwa uliyoirusha Ha ha haaaaaa Nawe umetumia ka akili kuwavuta ale wake wanaofata mikumbo
Mbona hujaweka link ya kujoin groups zingine? Umeleta porojo tu kutaka watu waingie kwa uliyoirusha Ha ha haaaaaa Nawe umetumia ka akili kuwavuta ale wake wanaofata mikumbo
MAHANJU JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 5,252 Reaction score 8,003 Mar 19, 2017 #62 Masiya said: Kama ulivyotoa tahadhari wamesha anza: Mbowe hana furaha na ushindi wa Tundu Lisu, TLS Click to expand... Hahahaaa! Ni kweli mkuu hata mimi nilijiingiza kwenye group hilo kizushi kwahiyo hiyo thread walianzisha wao na nimeona wakijadili.
Masiya said: Kama ulivyotoa tahadhari wamesha anza: Mbowe hana furaha na ushindi wa Tundu Lisu, TLS Click to expand... Hahahaaa! Ni kweli mkuu hata mimi nilijiingiza kwenye group hilo kizushi kwahiyo hiyo thread walianzisha wao na nimeona wakijadili.
tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,327 Reaction score 4,624 Mar 19, 2017 #63 Hii nchi yetu Sote
Utotole JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,607 Reaction score 4,263 Mar 19, 2017 #64 MKWEPA KODI said: Hapo watakutana uvccm peke yao sio chadema, ccm inaharibu vijana wetu aisee Click to expand... Hao shiteccm acha wajiunge huko. Sisi hatuwezi ku-join upuuzi wa hivyo.
MKWEPA KODI said: Hapo watakutana uvccm peke yao sio chadema, ccm inaharibu vijana wetu aisee Click to expand... Hao shiteccm acha wajiunge huko. Sisi hatuwezi ku-join upuuzi wa hivyo.
cheze JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 501 Reaction score 330 Mar 19, 2017 Thread starter #65 cocochanel said: Mbona hujaweka link ya kujoin groups zingine? Umeleta porojo tu kutaka watu waingie kwa uliyoirusha Ha ha haaaaaa Nawe umetumia ka akili kuwavuta ale wake wanaofata mikumbo Click to expand... unanionea tu bure mamy.
cocochanel said: Mbona hujaweka link ya kujoin groups zingine? Umeleta porojo tu kutaka watu waingie kwa uliyoirusha Ha ha haaaaaa Nawe umetumia ka akili kuwavuta ale wake wanaofata mikumbo Click to expand... unanionea tu bure mamy.
mkombengwa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 3,173 Reaction score 3,443 Mar 19, 2017 #66 Ahsante Kwa taarifa...CCM NI JANGA..