Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Let it not happen. Watubu warudi mezani iundwe transitional gov then katiba mpya.
Transitional gvt itaundwaje bila rais aliyoko kwanza kujiuzulu? Tusichukulie rahisi rahisi tu mtu kuachia madaraka kwa katiba yetu hii mbovu. Kwa yaliyotokea mpaka sasa kwa kiongozi mwenye hekima na busara angeshafanya jambo la kuituliza na kuiponya nchi na kutubu mbele ya kadamnasi.
 
Anaendeleza ubabe.. hasomi vitabu na kujifunza itakua kwamba ubabee una mwisho wake.. utaua wanakuja tena unaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena.. haya utaua mara ngapi? Suluhisho pekee alilonalo ni kuua?
 
Just an assumption, hizi ni paspective zake. So maybe 50% will happen and 50% won't happen
Kuna watu hawaamini mpaka waone na hao ndio wale wanaoutumia mfumo wa wait & see pekee na sio vinginevyo bila kuona hawaamini kwaa hio wait & see ndio utaamini kwamba hata MALCOM LUMUMBA aliwahi kuwasihi humu kuhusu October 29 na wakapuuza kisha kikatokea alichokisema wamebakia kushangaa tu na kile alichowashauri walikiweka kapuni wakafanya kinyume chake kilichofuatia umeshuhudia vifo vya watu 10,000+
 
Asee
 
Nimeona Leo Katika ulimwengu wa roho.

Nilikuwa nikipita juu ya daraja moja kubwa sana Katika Jiji kubwa la Tanzania,

Nikiwa natembea juu ya daraja hili, nilipishana na watu wengi wakienda na wengine kurudi kupitia daraja hili, daraja hili lilikuwa kiungo muhimu mno Katika nchi.

Nikiwa namalizia kuvuka daraja hili, jambo moja la kushangaza lilionekana, ni kama palikuwa kumenyesha mvua huko milimani, maji yaliongezeka kwa ghafula mno, kina Cha maji chini ya daraja kilipanda kwa Kasi, Hali hiyo ilileta mshangao na taharuki kwa watumiaji wa daraja ambalo ni kiungo muhimu kwa watu wa nchi.

Niliona maji mengi yakiwa yamepanda juu sana kupita level za kawaida za mto chini ya daraja lile, maji yake yalikuwa tulivu sana juu ,usingeweza kukadiria nguvu yake iliyo chini.


Nikiwa namalizia hatua ya mwisho kuvuka, nilipotupa macho nyuma, niliona mpasuko mkubwa mwanzo na mwisho wa daraja uliotokana na maji yake yenye nguvu kujaa sana.

Nikiwa Katika taharuki ya Nini kitatokea baada ya daraja lile kuwa hatarini,

Ghafula nikaamka.

Kumbe ilikuwa ndoto tu...

Karibuni wenye tafsiri sahihi ya nilichoona🙏
 
Itategemeana na uimara wa nchi kutokuingilika kwa maadui wa nje. Nchi ni kubwa hii na ina utajiri mwingi, kuna viinchi jirani ni vikora, vinatamani Tanzania iwe kama congo na sudani ili viingie kwa urahisi kujichukulia rasimali bwerere.
Maelezo meengii,hivi mngesikiliza maombi ya watanzania kabla ya kuingiza kwenye huu uchafuzi yangetokea haya
Mnaleta blame games za kidwazi sana wakati tatizo mnalijua kuwa hamtendi haki.

Nadhani unajua why nimeweka hii picha hapa
 
Kitaeleweka
 
!
RAZIEL-13
 
Hapo no 4.

Kwamba Mdude na Pole Pole bado wapo hai🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…