Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Father Kama report hii ipo huko meaning mnafanyaje sasa? Mnajua ninyi nanyi hamna msaada wowote kwenye hili Taifa. Mtu mmoja au kundi la watu wasiofika hata 20 liteteleshw nchi yenye zaidi ya watu m60?Ukweli TISS vijana kazi inafanyika Sana taarifa zinakusanywa za kutosha na kuchakatwa kwa kiwango kikubwa ila walaji wa taarifa ndio hawawezi kufanya maamuzi wapo wapo tu wapumbavu.
Hii report ya mtoa mada ipo mezani Ikulu toka mwaka 2011 lakini they saw it coming lakini wanashupaza shingo tu.
Nchi hii inahitaji haki tu hasira za Watanzania zimeanza mwaka 2010 baada ya uchaguzi na sababu kuu
Ni haki
Uwajibikaji
Ufisadi
Utekaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Sasa hasira zote zitahitimishwa mwaka huu!!
Anachokisema mtoa mada ndicho kitakachotokea
Lilikuwa kosa kubwa sana Samia kuingiza watu kutoka Zanzibar,Uganda na Zimbabwe kuja kuua watanganyika.
Hii lazima alipe Samia na genge lake.
Hiyo timu ndio kwanza umeiona, mkuu 'VERBOSE'; mbona tulisha ijadili muda kitambo humu humu ilipoletwa na KAVULATA kwenye mada yake, ili kutishia watu!
Huhitaji kuwa "mjeda", hasa kwa hali ya kisasa!Ndio maana sikuwa mjeda
Mmmmh sidhani kama ni hao. Na kama ni wao basi ni wanatumika tuHatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all ππΏππΏππΏ
Of course. They are just proxies!Mmmmh sidhani kama ni hao. Na kama ni wao basi ni wanatumika tu
Wakora wanaweza kuingia kupitia upande wowote ule na watz wakawapokea.Itategemeana na uimara wa nchi kutokuingilika kwa maadui wa nje. Nchi ni kubwa hii na ina utajiri mwingi, kuna viinchi jirani ni vikora, vinatamani Tanzania iwe kama congo na sudani ili viingie kwa urahisi kujichukulia rasimali bwerere.
Kwa maboresho ya Sheria ya hivi majuzi kuwalinda hawana cha kujiteteakazi inafanyika
Acha tu dadangu, mimi mwenyewe hapa nimetetemeka hadi nimekojoa kojo la nguvu.Sujui hata kwanini nimefungua huu uzi. Nimejawa na hofu
Pole MkuuAcha tu dadangu, mimi mwenyewe hapa nimetetemeka hadi nimekojoa kojo la nguvu.
Miguu inazidi kufa ganzi.
Lipo linakuja, ulimwengu wa Roho ulishaonesha watu wengi kuwa wanakimbilia Burundi na nchi nyingine na kuwa wakimbizi huko.Tujiandae kuwa wakimbizi π
ππ.tumezaliwa mara mora na TUTAKUFA MARA MOJA.Mmmh mbona mnatuogopesha sasa Mungu tuepushe na haya yote Amina
Kumlinda nani? lile shetani linaloua na kuteka wananchi wake au, tunachukulia kama utani lakini kuingia kwenye civil war ni rahisi kuliko tunavyofikiria na tulipofikia haihitaji watu wa nje au mataifa ya nje kuweka kuni, greedy people na stupid politicians watalipiga Taifa kibiritiulinzi wa taifa uimarishwe zaidi
Mengine yote Mungu atuepushe nayo ila la namba 1 na kaumu yake kunaswa na kufanyiwa ukatili Mungu alitimize tu.Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.