Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Kuna wakati nawaza Wanajeshi wana shida ya akili.

Wako busy kumlinda anaeleta nchini. Baadae kikiwaka, wao ndo wataenda kuuana na kufa huko msituni eti wanapigania nchi kwa matatizo ambayo yalisababishwa na waliekuwa busy kumlinda, na wakati huo yeye na familia yake watakuwa wanakula tu maisha ikulu.

But do you think they care?? They dont care at all. Hata tupige kelele vipi tunaonekana tunaonekana mafara tu.
 
Hii kamati kama inajitambua ni heri ichukue hatua maoema sana. Mtu mmoja kitu gani? Kwa nini kuleta taharuki kiasi hiki kisa madaraka na kiburi tu kuwa tupimane nguvu na mabavu?

Binafsi nimesoma hii makala nikapata hofu sana. Taifa hili lilipoa sana na sio kwa amani bali kwa suppression. Sasa pressure cooker inaenda kufumuka kama hatapatikana mjuzi wa kuitumia. Chondechonde wenye dhamana na usalama wa Taifa hili, huu uteuzi unaoendelea si wa lazima zaidi ya hili fukuto.

We do not need another hero
 
Wamechagua kujizima data,na kufanya kama hakuna kitu chochote!!
 
Mbona yashasemwa mengi tu, hili la wageni hasa wa Rwanda kuingia nchini na kushika nyadhifa sehemu nyeti kuna siku litaleta shida, lakini serikali kimya haijawai kuchukua hatua zozote.

Na kuna watu mnawajua wengine mnaishi nao mitaani, uraia wao wa mashaka sana lakin maajabu mpaka kazi ambazo mtanzania wa kawaida hawezi kuzipata kiwepesi hawa wageni wanazishikilia nini shida?

Nchi yetu tukubali ukweli imefeli, inaendelea kufeli kwa kuendelea kupuuza yanayosemwa either kwa makusudi au Kwa maslahi yao kufaidika na hizo njama za wageni.

Tukiendelea kuyapuuza haya ipo siku baadhi ya sehemu za ardhi ktk hili Taifa zitamilikiwa na wageni huku masalia yakibaki kwa wazawa wenyewe wakiendelea kupigana kisa udini/ukanda na upuuzi wa namna hiyo.

Hii amani feki imewapotosha sana viongozi kusahau majukumu yao, badala yake wanashikilia maslahi yao na ndugu zao,

Samia na kikwete wameiharibu hii nchi sijui wenzetu huwa wanadhani wajukuu wao wataishi nchi ipi tofauti na hii wanayoihujumu kipumbavu namna hii.
 
Noma
Noma sana nimekosa amani kabisa
 
Moto uwake tu kikubwa Bi Urojo akimbizwe na JK akamatwe.
🔥🔥
 
Ndo maana Tiss inatakiwa kua na meno kufanya maamuzi binafsi kwa kumpa taarifa chache Rais kwa maslahi ya Tanzania Rais abaki na PSU inamtosha
 
P
Damu ya mtu ni nzito sana
Prove kauli yako ama ni mapokeo tu yaani umejikuta na wewe unaiendeleza Ila huna uhakika nayo. Unajua Napoleon na Leopold wa ubelgiji aliua.wakongo wangapi na bado kunwagika damu mpaka dakika hii.

Unajua UK.akaua raia wengi mno amerika na Australia adi akapata ardhi ya watu wake wanaishi vizuri kuliko waliouliwa
 
Kenya watakua wana shangaa tu bwana m7 na mkewe kagame wakiingia tz
Hawawezi kuingia direct wanatumia indirect ways ambazo hawawezi kuhukumiwa/kushitakiwa na sheria za kimataifa au wao wenyewe kuharibu diplomasia ya nchi zao na kusababisha mataifa rafiki wa Tz kuingilia kati.

East Afrika nchi ya Rwanda na Uganda ndio nche pekee zimepitia misukosuko na hizi purukushani za kupambana vita, hivyo wanazijua njama zote za kupambana na adui, na siraha zote jinsi ya kuzikwepa na kipi cha kufanya.

Kama wanachokifanya mabwana zao wa magharibi na uarabuni yaani kushambulia bila kuacha ushahidi+kushambulia bila ya kujulikana ili kuepuka lawama, na njia yenyewe ni kutumia hawa mamluki wao wanaojiita magaidi(proxies) na hii njia ndio inayotumika hapo Congo kuihujumu mataifa yanaishia kubweka bweka lakin hakuna amani inayotokea kwasababu hamna ushahidi wa kuwahukumu waamiliki wa hizo vurugu.

Simple tu, Uganda+Rwanda hawawezi kuingia vitani na Tanzania direct maana wataishia kuharibu nchi zao na pia kuharibu diplomasia ya kimataifa, nirudie tena hizi nchi japo tunacheka nao lakini ni wanafiki pamoja na unafiki wao hawawezi kuingia vitani dhidi ya Tanzania wala Kenya maana hawana huo uwezo ni either tufe wote na malengo yao kukwama au , wao wapoteze zaidi maana nchi ya Tanzania pamoja na makandokando yake iko kijeshi haiwezi kupigwa na hizi nchi pia iko backed up na Communist/socialist countries kama Russia&China hivyo hawawezi kuruhusu hili litokee.

Njia pekee ambayo hawa jamaa walishaiandaa muda mrefu ni hii ya kupandikiza mamluki wao serikalini, hatukatai wageni lakini tunakataa wageni waovu ambao ndio hawa watatumika kutimiza huu uovu, wanavujisha siri za nchi na ndio hawa hawa ni decision makers kwa baadhi ya nyadhifa nchini.
Na njia hii ndio wataitumia kuingiza proxies wao ambao nina uhakika baadhi wapo hapa nchini kama walivyowai kutokea kipindi fulani, hivyo tunaishi nao mitaani wakisubiri wakati wao.

Siku nchi ikipata upenyo wa uovu na vurugu kubwa zaidi ya iliyotokea October 29, basi tutegemee hawa jamaa kuanza kazi, na kilichopo mezani kitakachotuharibia watanzania ni huu UPUUZI wa udini na huu UPUUZI wa uzanzibar dhidi ya utanganyika, bila ya maridhiano ya kuurudisha umoja wa Tanzania nina hakika zaidi watanzania wengi watakuja kuwa sapoti ya kuiangusha serikali na kuigawa Kwa wageni.

Nalog Off
 
ni shida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…