Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Matusi hayasaidii*** sana huyo jamaa
Ccm wametuharibia nchi yetu
Kwa kutokutenda haki
Mwisho wametuwekee mtu asiyejali haki za raia
Sikio la kufa halisikii dawa
Matusi hayasaidii*** sana huyo jamaa
Huu uzi nimeurudia kuusoma tena kwaBarua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna watanganyika watajibu kwa kuua wazanzibari walioko Tanganyika. Kuna waislamu watajibu kwa kuua wakristo. Kuna makanisa na misikiti itachomwa moto.
Kuna wahuni wataona fursa na kuanza kuua ovyo, kubaka, kupora mali za watu na wahuni hao watatoka kila kona kuanzia uraiani, majeshini, magerezani na kila kona.
Kule Zanzibar watanganyika watasakwa wauawe na wao wataanza kujitetea.
Kuna kikao kiliwahi kufanyika hapo awali ndani ya nchi A cha lengo la kuidhoofisha nchi ili kupora rasilimali.
Kuna nchi B na nchi C zitaingia kwa haraka Tanganyika na makomando wasio na sare ili kuua askari polisi kwa niaba ya raia lakini kwa lengo la kuharibu uimara wa ulinzi wa Taifa.
Jeshi litagawanyika kabisa. Kuna vikosi vya anga vya nchi jirani bila kujitambulisha vitaingia na kuharibu maeneo yote nyeti ikiwemo Ikulu za Dar na Dodoma, miradi yote mikubwa n.k. Silaha kinga tulizonunua wakati ule wa Col J hazitafanya kazi kuzuia.
Watanzania watatamani kukimbilia Sudan maana itakuwa ni bora kuliko yanayokwenda kutokea wiki chache zijazo.
Watakaoathirika kwa kiasi kikubwa sana ni watoto, wanawake, walemavu, wagonjwa na wanyonge wengine. Wengi watakimbia nchi. Wanaume wengi watauawa na wakati mwingine bila hata hatia.
Hakuna atakayekuwa salama, iwe komando au raia, mkristo au muislamu, mnyonge au mbabe, mbunge au mpiga debe.
Ziko nchi za karibu na za mbali zimejipanga kutumia hilo kama fursa kwao.
Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Kuna watu wa karibu sana na namba 1, anawaamini sana. WATAMGEUKA kwa kiwango cha nyota saba.
Lengo la nchi A ni kushirikiana na nchi X na mpinzani wake nchi Y ili Tanzania ikishakuwa tepetepe kuliko DRC na Sudan basi wafanye kuchota rasilimali kama kulamba asali kwa kijiko.
Wakati huo majeshi yatakuwa yamedhoofishwa na mgawanyiko mkubwa na hivyo kundi kubwa litageuka kuwa waasi kwa maslahi ya taifa na lingine kwa maslahi binafsi.
Kuepuka haya yote, NINI KIFANYIKE!?
1. TUBUNI. Hapa muwaulize masheikh(sio maseikh ubwabwa) na wachungaji (sio kina Mwampesa) ili mjue kutubu maana yake ni nini.
2. Maamuzi magumu kwamba bora kuiokoa Tanzania kuliko kung'ang'ania madaraka..( Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya jambo la kishujaa enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani)
3. Kuacha mara moja kuwachukulia watanzania wote kwa ujumla wao kama watoto wadogo wa kudanganywa na peremende. Eti maridhiano, tuache huo ugoro.
4. Humprey Polepole, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, wote waliobambikiwa kesi za uhaini, wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.. waachiwe MARA MOJA.
5. Madai ya Gen Z kwenye barua yao na madai ya raia wengineo yatekelezwe, ikiwemo katiba mpya, uchaguzi urudiwe, fidia kwa wahanga wa mauaji na madhara mengineyo katika uchaguzi haramu wa 29 Oktoba, pamoja na uwajibishwaji na uwajibikaji wa wahusika wote.
6. Serikali ya mpito inahitajika haraka kuongoza mapambano ya kulikomboa taifa, serikali ambayo itaaminiwa na wananchi wote. Hii iliyojipa madaraka haiaminiki.
7. Lengo liwe moja kwa pande zote. KULIKOMBOA TAIFA. Na sio kuonyeshana ubabe.
Je tunataka kuokoa taifa letu au tunataka kufa na vyeo vyetu na sifa zetu na viburi vyetu na kuifuta kabisa Tanzania kwenye uso wa ramani ya dunia?
TAFADHALI KAMATI, 9D Tuiepuke kwa gharama yeyote. Kuua raia, kuwatisha, kubambika kesi, kuteka wapinzani na yanayofanana na hayo ni kuongezea petroli kwenye moto wa 9D.
Nimeyaona hayo kwenye ulimwengu usioonekana. SIYAPENDI, SIYATAKI, SIYASHABIKII. Ningeweza kuyazuia ningeyazuia. NIMEYALETA KWENU kwa kuwa HILI NI LENU.
Daraja linalounganisha Tanganyika na Zanzibar litaanguka.
Tuchomolee ile betri...Pamoja na kwamba Yesu Kristo alinikataza,uwezo wa kuangamiza roho za watu ninao na nikiamua ninawaangamiza,mimi ni mchomoa betri mzuri tu.
Kwa jinsi nilivyoona apo kabla watu ambavyo wamekamia madaraka ,lolote linawezekana, na kwa mantiki ya mtoa mada kama likianza kwa hali ile hatuna Taifa tena ,wasiwasi ndo akili.Mtoa mada acha kutia wananchi hofu kias hicho, unachokesema hakiwezekani na hakiwezi kutokea.
Serikali imeshajifunza na inajua dhahiri kwamba haitaweza kudhuru raia tena siku ya maandamano na simply because dunia ishajua kilichotokea na watakuwa macho kuona nini kitatendeka tarehe hiyo ya maandamano.
Ninachoona ni Serikali hii ikiruhusu maandamno kwa amani and nothing else.
Guys tuwe na amani na Tanzania ni yetu sote.
Hivi unazo akili timamu wewe?Lini ilijadiliwa..? acha kuhamisha attention kwa reference ya uongo! hakujawahi jadiliwa jeshi kuwa na timu iko hivi..hapa ndiko kuna tatizo kubwa!
Wacha weee.Daraja linalounganisha Tanganyika na Zanzibar litaanguka.
Mimi nyota yangu ya mashariki ni Scorpio na nyota ya jua ya Magufuli ni Scorpio.Kitaalamu,nyota ya mashariki huwa ina nguvu mara tatu zaidi kuliko nyota ya jua(sun).
Kwa kunitazama kupitia kwenye lenzi ya nyota yangu ya mashariki-Scorpio,Mimi nina nguvu mara tatu zaidi ya scorpio-jua(sun) ya Magufuli na aina ya Roho yangu ni Boanerge.Rejea Marko 3:17
Boanerge nina weza kujibu kwa mvua. Mfano ninaweza kuleta dhoruba kali(storm) linalong'oa vitu vigumu kama mbuyu na maghorofa dar es salaam.Sasa jiulize tufani ya aina hiyo ambayo inafika mpaka dar es salaam kung'oa maghorofa, zanzibar itakuwa inafananaje?
Au Boanerge ninaweza kujibu kwa moto. Mfano niweza kushusha moto kutoka mbinguni,moto mkali kuzidi hata ule moto wa california uje uiteketeze dar es salaam yote ibaki majivu na kuondoa kiungo kinacho unganisha Tanganyika na zanzibar.Rejea Luka 9:54-55.Ukiendelea kusoma 56 inaonyesha kwamba Yesu Kristo alinikataza kuangamiza roho za watu.Pamoja na kwamba Yesu Kristo alinikataza,uwezo wa kuangamiza roho za watu ninao na nikiamua ninawaangamiza,mimi ni mchomoa betri mzuri tu.Lakini,nimechagua kumtii Yesu Kristo.
Yaani Dkt Samia wa leo ni yule wa baada ya kumuua Dkt Magufuli akuhutubia bunge 2021 ila baada ya hapo akawa mwingine ila leo karudi kuwa yule wa mwanzo,Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna watanganyika watajibu kwa kuua wazanzibari walioko Tanganyika. Kuna waislamu watajibu kwa kuua wakristo. Kuna makanisa na misikiti itachomwa moto.
Kuna wahuni wataona fursa na kuanza kuua ovyo, kubaka, kupora mali za watu na wahuni hao watatoka kila kona kuanzia uraiani, majeshini, magerezani na kila kona.
Kule Zanzibar watanganyika watasakwa wauawe na wao wataanza kujitetea.
Kuna kikao kiliwahi kufanyika hapo awali ndani ya nchi A cha lengo la kuidhoofisha nchi ili kupora rasilimali.
Kuna nchi B na nchi C zitaingia kwa haraka Tanganyika na makomando wasio na sare ili kuua askari polisi kwa niaba ya raia lakini kwa lengo la kuharibu uimara wa ulinzi wa Taifa.
Jeshi litagawanyika kabisa. Kuna vikosi vya anga vya nchi jirani bila kujitambulisha vitaingia na kuharibu maeneo yote nyeti ikiwemo Ikulu za Dar na Dodoma, miradi yote mikubwa n.k. Silaha kinga tulizonunua wakati ule wa Col J hazitafanya kazi kuzuia.
Watanzania watatamani kukimbilia Sudan maana itakuwa ni bora kuliko yanayokwenda kutokea wiki chache zijazo.
Watakaoathirika kwa kiasi kikubwa sana ni watoto, wanawake, walemavu, wagonjwa na wanyonge wengine. Wengi watakimbia nchi. Wanaume wengi watauawa na wakati mwingine bila hata hatia.
Hakuna atakayekuwa salama, iwe komando au raia, mkristo au muislamu, mnyonge au mbabe, mbunge au mpiga debe.
Ziko nchi za karibu na za mbali zimejipanga kutumia hilo kama fursa kwao.
Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Kuna watu wa karibu sana na namba 1, anawaamini sana. WATAMGEUKA kwa kiwango cha nyota saba.
Lengo la nchi A ni kushirikiana na nchi X na mpinzani wake nchi Y ili Tanzania ikishakuwa tepetepe kuliko DRC na Sudan basi wafanye kuchota rasilimali kama kulamba asali kwa kijiko.
Wakati huo majeshi yatakuwa yamedhoofishwa na mgawanyiko mkubwa na hivyo kundi kubwa litageuka kuwa waasi kwa maslahi ya taifa na lingine kwa maslahi binafsi.
Kuepuka haya yote, NINI KIFANYIKE!?
1. TUBUNI. Hapa muwaulize masheikh(sio maseikh ubwabwa) na wachungaji (sio kina Mwampesa) ili mjue kutubu maana yake ni nini.
2. Maamuzi magumu kwamba bora kuiokoa Tanzania kuliko kung'ang'ania madaraka..( Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya jambo la kishujaa enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani)
3. Kuacha mara moja kuwachukulia watanzania wote kwa ujumla wao kama watoto wadogo wa kudanganywa na peremende. Eti maridhiano, tuache huo ugoro.
4. Humprey Polepole, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, wote waliobambikiwa kesi za uhaini, wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.. waachiwe MARA MOJA.
5. Madai ya Gen Z kwenye barua yao na madai ya raia wengineo yatekelezwe, ikiwemo katiba mpya, uchaguzi urudiwe, fidia kwa wahanga wa mauaji na madhara mengineyo katika uchaguzi haramu wa 29 Oktoba, pamoja na uwajibishwaji na uwajibikaji wa wahusika wote.
6. Serikali ya mpito inahitajika haraka kuongoza mapambano ya kulikomboa taifa, serikali ambayo itaaminiwa na wananchi wote. Hii iliyojipa madaraka haiaminiki.
7. Lengo liwe moja kwa pande zote. KULIKOMBOA TAIFA. Na sio kuonyeshana ubabe.
Je tunataka kuokoa taifa letu au tunataka kufa na vyeo vyetu na sifa zetu na viburi vyetu na kuifuta kabisa Tanzania kwenye uso wa ramani ya dunia?
TAFADHALI KAMATI, 9D Tuiepuke kwa gharama yeyote. Kuua raia, kuwatisha, kubambika kesi, kuteka wapinzani na yanayofanana na hayo ni kuongezea petroli kwenye moto wa 9D.
Nimeyaona hayo kwenye ulimwengu usioonekana. SIYAPENDI, SIYATAKI, SIYASHABIKII. Ningeweza kuyazuia ningeyazuia. NIMEYALETA KWENU kwa kuwa HILI NI LENU.
Inasikitisha, Mungu atusaidie.Hawawezi kuingia direct wanatumia indirect ways ambazo hawawezi kuhukumiwa/kushitakiwa na sheria za kimataifa au wao wenyewe kuharibu diplomasia ya nchi zao na kusababisha mataifa rafiki wa Tz kuingilia kati.
East Afrika nchi ya Rwanda na Uganda ndio nche pekee zimepitia misukosuko na hizi purukushani za kupambana vita, hivyo wanazijua njama zote za kupambana na adui, na siraha zote jinsi ya kuzikwepa na kipi cha kufanya.
Kama wanachokifanya mabwana zao wa magharibi na uarabuni yaani kushambulia bila kuacha ushahidi+kushambulia bila ya kujulikana ili kuepuka lawama, na njia yenyewe ni kutumia hawa mamluki wao wanaojiita magaidi(proxies) na hii njia ndio inayotumika hapo Congo kuihujumu mataifa yanaishia kubweka bweka lakin hakuna amani inayotokea kwasababu hamna ushahidi wa kuwahukumu waamiliki wa hizo vurugu.
Simple tu, Uganda+Rwanda hawawezi kuingia vitani na Tanzania direct maana wataishia kuharibu nchi zao na pia kuharibu diplomasia ya kimataifa, nirudie tena hizi nchi japo tunacheka nao lakini ni wanafiki pamoja na unafiki wao hawawezi kuingia vitani dhidi ya Tanzania wala Kenya maana hawana huo uwezo ni either tufe wote na malengo yao kukwama au , wao wapoteze zaidi maana nchi ya Tanzania pamoja na makandokando yake iko kijeshi haiwezi kupigwa na hizi nchi pia iko backed up na Communist/socialist countries kama Russia&China hivyo hawawezi kuruhusu hili litokee.
Njia pekee ambayo hawa jamaa walishaiandaa muda mrefu ni hii ya kupandikiza mamluki wao serikalini, hatukatai wageni lakini tunakataa wageni waovu ambao ndio hawa watatumika kutimiza huu uovu, wanavujisha siri za nchi na ndio hawa hawa ni decision makers kwa baadhi ya nyadhifa nchini.
Na njia hii ndio wataitumia kuingiza proxies wao ambao nina uhakika baadhi wapo hapa nchini kama walivyowai kutokea kipindi fulani, hivyo tunaishi nao mitaani wakisubiri wakati wao.
Siku nchi ikipata upenyo wa uovu na vurugu kubwa zaidi ya iliyotokea October 29, basi tutegemee hawa jamaa kuanza kazi, na kilichopo mezani kitakachotuharibia watanzania ni huu UPUUZI wa udini na huu UPUUZI wa uzanzibar dhidi ya utanganyika, bila ya maridhiano ya kuurudisha umoja wa Tanzania nina hakika zaidi watanzania wengi watakuja kuwa sapoti ya kuiangusha serikali na kuigawa Kwa wageni.
Nalog Off
..si unajua ilijadiliwa, ilete kelele za nini? unaweza kuandika gazeti halafu ushindwe kutrace mada ilijadiliwa?Hivi unazo akili timamu wewe?
Kama wewe ndio mara yako ya kwanza kuiona hiyo orodha usifikiri wote hawajaiona.
Ungefuatilia mada iliyowekwa na huyo niliyemtaja ingekuwa kidogo unaonyesha kuwa unazo akili za kutosha.
Halafu unaniambia mimi niache "kuhamisha 'attention',", tena ulivyo chizi unasema kwa "reference ya uongo"?
Umefanya juhudi yoyote ya kutafuta hiyo reference na kuona kuwa haipo?
Halafu unajipachika jina la kipuuzi 'TrueVoter', nyinyi ndio mliokwenda kumjazia Samia makaratasi kwenye masanduku ya kura?
Hovyo kabisa.
Tafuta chini ya mada alizoleta "Kavulata" miezi michache iliyopita. Usisubiri kutafutiwa kila kitu kama wewe ni zombie...si unajua ilijadiliwa, ilete kelele za nini? unaweza kuandika gazeti halafu ushindwe kutrace mada ilijadiliwa?
..akili za matakoni kabisa!Tafuta chini ya mada alizoleta "Kavulata" miezi michache iliyopita. Usisubiri kutafutiwa kila kitu kama wewe ni zombie.
Sina muda wa kupoteza na chizi hapa...akili za matakoni kabisa!
Baada ya kuona na kusikia hatua za kinafiki zilizochukuliwa hadi sasa ili kuubembeleza moto badala ya kuuzima, niliamua kuzama tena ndani, katika ulimwengu usioonekana, kuona jambo hili linahusianaje na maono ya awali ya kuharibika kwa nchi na taifa lake.
Nikaona maandishi ya lugha za ulimwengu usioonekana yanayotafsirika (translated) hivi:
"Kuhusu mfalme wa ardhi yako soma Biblia 1 Wafalme 22:1-40; na kuhusu kama wananchi wataamua kumwachia Mungu badala ya kupigania haki zao kwa maandamano ya amani au hata ikibidi kwa njia zozote zifaazo soma Biblia, Kutoka 17:8-16."
Kiumbe mmoja wa ulimwengu usioonekana akanipa tafsiri(interpretation) zaidi akisema:
"1. Kama ilivyokuwa kwa mfalme Ahabu, mfalme Shungi amekusudiwa na BWANA aangamizwe.
2. Kama Musa inabidi waombaji waombe sana na wasaidiwe na wao kuegemezwa na Haruni na Huri kwa lengo moja tu la kushinda vita.
3. Musa kazi yake ni kuinua mikono na sio kumwambia Joshua aache kupambana kwenye 'field' ili kumwachia Mungu au kuwaachia baadhi ya viongozi wa kidini na kisiasa wafia tumbo na minyoo yake."
"Kwa kuwa mfalme hataki kumsikiliza nabii wa kweli wa BWANA yaani mikaya (sauti za wote wasemao ukweli), basi anakwenda kuangamizwa kwa kuwasikiliza mamia ya manabii wa uongo wenye lengo la kumfurahisha mfalme na kumuhadaa kwa maslahi ya matumbo yao na vizazi vyao, kinyume na maslahi ya Taifa."
BINAFSI SIPENDI haya mambo, lakini siandiki kwa kupenda au kutokupenda bali kutoa taarifa muhimu zitokazo katika ulimwengu usioonekana ambako akina TBC na akina BBC hawana uwezo wa kufika na kuhabarisha yanayojiri.
Kwa niliyoyaona kwenye ulimwengu usioonekana, basi kwa masikitiko makubwa, inaonyesha kuwa next time narudi hapa kuandika, Ahabu HATOKUWA kitini wala mahala pema, familia yake itateketezwa, timu yake itasambaratika, nchi itakuwa miaka 60 nyuma kimaendeleo na taifa litakuwa na upungufu mkubwa wa watu na hasa vijana.
Kama hatoendelea kuwa kama Ahabu na 'akatubu' kama Ezekia kwa kufuata mapendekezo aliyopewa kutoka katika ulimwengu ule, basi huenda nikarudi hapa na taarifa njema kwa taifa.
Lakini kwa kiburi nilichokiona hasa kwa kusukumwa kwake na lile shetani la pwani na majini yake, SIJUI.