much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Kiburi cha watawalaHatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kiburi cha watawalaHatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tanzania itakuwa kubwa jinga kama DRCWatoto wetu 😭😭😭 mimi kwanini nimeleta watoto kwenye mateso haya Mungu wangu zikumbuke dua zetu utunusuru yarabi😭😭😭😭
Kwanini hao wanaomshauri wasijipe madaraka ya kwenda kupambana moja kwa moja na shetani wa pwani bila huyo mwenye enzi kujua ili kuliokoa Taifa?Baada ya kuona na kusikia hatua za kinafiki zilizochukuliwa hadi sasa ili kuubembeleza moto badala ya kuuzima, niliamua kuzama tena ndani, katika ulimwengu usioonekana, kuona jambo hili linahusianaje na maono ya awali ya kuharibika kwa nchi na taifa lake.
Nikaona maandishi ya lugha za ulimwengu usioonekana yanayotafsirika (translated) hivi:
"Kuhusu mfalme wa ardhi yako soma Biblia 1 Wafalme 22:1-40; na kuhusu kama wananchi wataamua kumwachia Mungu badala ya kupigania haki zao kwa maandamano ya amani au hata ikibidi kwa njia zozote zifaazo soma Biblia, Kutoka 17:8-16."
Kiumbe mmoja wa ulimwengu usioonekana akanipa tafsiri(interpretation) zaidi akisema:
"1. Kama ilivyokuwa kwa mfalme Ahabu, mfalme Shungi amekusudiwa na BWANA aangamizwe.
2. Kama Musa inabidi waombaji waombe sana na wasaidiwe na wao kuegemezwa na Haruni na Huri kwa lengo moja tu la kushinda vita.
3. Musa kazi yake ni kuinua mikono na sio kumwambia Joshua aache kupambana kwenye 'field' ili kumwachia Mungu au kuwaachia baadhi ya viongozi wa kidini na kisiasa wafia tumbo na minyoo yake."
"Kwa kuwa mfalme hataki kumsikiliza nabii wa kweli wa BWANA yaani mikaya (sauti za wote wasemao ukweli), basi anakwenda kuangamizwa kwa kuwasikiliza mamia ya manabii wa uongo wenye lengo la kumfurahisha mfalme na kumuhadaa kwa maslahi ya matumbo yao na vizazi vyao, kinyume na maslahi ya Taifa."
BINAFSI SIPENDI haya mambo, lakini siandiki kwa kupenda au kutokupenda bali kutoa taarifa muhimu zitokazo katika ulimwengu usioonekana ambako akina TBC na akina BBC hawana uwezo wa kufika na kuhabarisha yanayojiri.
Kwa niliyoyaona kwenye ulimwengu usioonekana, basi kwa masikitiko makubwa, inaonyesha kuwa next time narudi hapa kuandika, Ahabu HATOKUWA kitini wala mahala pema, familia yake itateketezwa, timu yake itasambaratika, nchi itakuwa miaka 60 nyuma kimaendeleo na taifa litakuwa na upungufu mkubwa wa watu na hasa vijana.
Kama hatoendelea kuwa kama Ahabu na 'akatubu' kama Ezekia kwa kufuata mapendekezo aliyopewa kutoka katika ulimwengu ule, basi huenda nikarudi hapa na taarifa njema kwa taifa.
Lakini kwa kiburi nilichokiona hasa kwa kusukumwa kwake na lile shetani la pwani na majini yake, SIJUI.
Wao wameamua kwa mstakabaliwa matumbo yaoHivi kwanini watu walioko Tiss na JWTZ hasa wazalendo wasifike mahali waamue kwa mstakabali wa taifa. Ni kweli huenda wanalipwa vizuri sana na pengine hata visivyostahili lakini haki kwa taifa ni ya muhimu sana.
Wekeni kando hii serikali haramu maana haina ithibati ya kuongoza na walivyotuua ni kama ndiyo wamejiharibia zaidi.
Taifa hata yasipokuwepo maandamano ya 9D litarudi nyuma sana kwasababu watu kwa asilimia kubwa sana hawaukubali huu uongozi na hata wao hawana Imani na sisi kwahiyo kila upande utafanya kinyume na kinachotakiwa.
Oya wanajeshi acheni uboya chukueni nchi muitengenezee mstakabali kwa vizazi vijavyo maana nyinyi ndiyo wazalendo namba moja kwa nchi.
Aisee Tanzania tuko hatarini, nchi yetu imezungukwa na viinchi ambavyo vyote viko unstable.Mkianza kupigana wenyewewe kwa wenyewe ulinzi wa mipaka ya nchi unakuwa dhaifu, mara rwanda na uganda wanaingia na kuteka kagera, kigoma, mwanza, geita hadi shinyanga, upande ule malawi analichukua eneo lote la ziwa nyasa. kule kusini wale wahuni wa delgado wanaichukua mtwara mpaka lindi, kenya nao wanajichukulia kilimanjaro. Masultani nayo yanaibuka yakichuka tanga, dar hadi mafia, kwa hali hii nchi itakuwa imesambaratika kizembe kama hatua madhubuti hazitachukuliwa kuilinda nchi kikamilifu
Rais ameshaongea na amegusia kila jambo ambalo linapigiwa kelele lakini naona watu wanataka waende tena barabaraniNjia ya kuepuka yote hayo ni kutenda haki
Mwambie huyo mama ako na viongozi wenzie wa CCM waache utapeli.Rais ameshaongea na amegusia kila jambo ambalo linapigiwa kelele lakini naona watu wanataka waende tena barabarani
Hawa ndiyo wale ambao hawajui hata wanachokipambania ni nini? Remote yao ipo kwa Mange na Kina Sarungi
Hata sijuiTayana-wog ndio huu uzi??
Ndio huuHata sijui
Mi mwenyewe niliomba wanitag maana sijauona
OkayNdio huu
Hatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Haiwezi kuwa , yesu alimwaga Damu msalabani ili dunia ikombolewe na ndugu zetu wamemwaga damu kwa nchi yao ili taifa likombolewe , Bwana hajaliacha Taifa lake la Tanzania, waliolifikisha apa taifa Mungu anaenda kutenda jambo kama sio pigo kuu kwao ,ila Taifa litasimama amin nawambieniTanzania itakuwa kubwa jinga kama DRC
Mwambie kaka yako Haji Omary Kheir tukimkamata tutamlawiti bila grissNajua unanipenda,ila acha kunitag tag
We Mjinga, bado hajafanya jambo moja na la muhimu. Samia anatakiwa ajiuzuru mara moja na kuruhusu kuundwa kwa serikali ya mpito. Utawala huu batili haukubaliki kwa Wananchi, ni KIKUNDI CHA KIGAIDI tu.Rais ameshaongea na amegusia kila jambo ambalo linapigiwa kelele lakini naona watu wanataka waende tena barabarani
Hawa ndiyo wale ambao hawajui hata wanachokipambania ni nini? Remote yao ipo kwa Mange na Kina Sarungi
Mjinga mwenyeweWe Mjinga, bado hajafanya jambo moja na la muhimu. Samia anatakiwa ajiuzuru mara moja na kuruhusu kuundwa kwa serikali ya mpito. Utawala huu batili haukubaliki kwa Wananchi, ni KIKUNDI CHA KIGAIDI tu.
Mimi hizi ndio naita hoja mfu, hao Uganda na Rwanda ndio waliompiga Lissu risasi? Ndio waliomuua Kibao? Ndio walifukuza Wamasaai Ngorongoro? Wameuza bandari yenu?Nadhani vitabu vya Mungu vilishamaliza kila kitu. Huwa kuna adhabu, tena si ya wanadamu ..hapana!
Ni adhabu ya Mungu. DHARAU na KIBURI ni makosa makubwa sana kwa mwenyezi Mungu. Watawala, isikieni sauti ya Mungu kabla hamjaliangamiza hili Taifa.
Haitaweza tena kuja kuwepo kitu kinaitwa Tanzania kama ilivyo leo, maana tunajua hila za majirani hasa Rwanda na Uganda. Hawa jamaa ni ndugu kiasili, marais wa hizo nchi ni kabila moja wale na wameoa familia moja ..wako united sana. Jihadharini sana na coaching zao, ipo siku mtajuta kuwajua.
Watawala, shikamaneni na wananchi wenu, ipendeni nchi yenu na muwe tayari kujishusha. Kwa Mungu kujishusha ni thwawabu lakini kujikweza ni adhabu ya MAUTI. Tubuni mliokoe hili Taifa mapema giza halijaingia