Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

nchi iko vizuri wala hakuna shida yeyote, serikali imekamilika na kazi ya maendeleo inaanza, nyie wenye mawazo ya chuki mtabaki humu kwenye mitandao mnatisha wapumbavu wenzenu. dec9 hakuna kitakacho tokea, vijana wamesha pata fundisho kubwa sana. Hii nchi ya watu 60m, wafanya fujo hawakuzidi laki moja kwaiyo hii sio tatizo kwa serikali.

Sio tatizo wakati mama yenu analia mmemtia DOA, na bado.
 
Mimi hizi ndio naita hoja mfu, hao Uganda na Rwanda ndio waliompiga Lissu risasi? Ndio waliomuua Kibao? Ndio walifukuza Wamasaai Ngorongoro? Wameuza bandari yenu?

Hao Rwanda & Uganda ni kama vibaka tu walio kua wanaiba kwenye maandamano.

They are looking for opportunity to distable and Root the country.
 
We Mjinga, endelea kula urojo waako tu. Subiri matokeo utayaona kuanzia Disemba 9, itakuwa ni PIGA NIKUPIGE hadi Samuya na Kikwete watapoamua kukimbia nchi au kukamatwa.
Mi sio mjinga Mkuu

Hata mimi pia natamani akimbie
 
naona hiki kitu kama kinaenda kutokea aisee
 
Anaendeleza ubabe.. hasomi vitabu na kujifunza itakua kwamba ubabee una mwisho wake.. utaua wanakuja tena unaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena.. haya utaua mara ngapi? Suluhisho pekee alilonalo ni kuua?
Huoni kapress karata ya udini anataka watu wamalizane wenyewe kwanza
 
Waje tu maana tumechoka kuongozwa na mavilaza yalifeli form four
 
Ingekuwa rahisi zaidi kumpa Lissu Urais halafu kumdhibiti kuliko hii njia ngumu na ya hatari waliyochagua kutumia.

Wanadhani hiyo chaos wanayoenda kuitengeneza wataweza kuidhibiti ila wanajidanganya. Wamerukwa na akili.
 
Itategemeana na uimara wa nchi kutokuingilika kwa maadui wa nje. Nchi ni kubwa hii na ina utajiri mwingi, kuna viinchi jirani ni vikora, vinatamani Tanzania iwe kama congo na sudani ili viingie kwa urahisi kujichukulia rasimali bwerere.
Una rasilimali Gani wewe. Kama taifa mpaka Leo unajengewa matundu ya vyoo na jica? Condom zenyewe unapewa msaada na USAID
Huko tasaf Nako hivyo hivyo?
Labda rasilimali za kuiba kura na kuwa na kuteka tu baasi
Rip Mzee kibao
 
Back
Top Bottom