Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Unajua kwenye sherehe kuna watu wengi. Kwa hiyo kuna kuwa na mambo mengi. Watu wanajiachia kwa raha zao, wengine unakuta bia zimeshawachangamsha, hapo kuna wadada wanasaka madanga, pia unakuta wadada wengine wanatafuta wapenzi au hata mtu wa kumuomba namba. Hapo bado vituko vya wanaocheza na wanaoropoka wakipewa mic. Halafu bado unarekodiwa.Ndio hivyo mkuu ila hizi sherehe hizi watu wanaonekaga vituko aiseee sio kabisa kuna siku camera zitavunjwa ukumbini
π
Kweli mkuu privacy za watu muhimu, mfano mzuri club hua kuna camera ila mambo ya club na matukio ya club hua yanaishia kule kule hukuti watu wamerekodiwa ovyo wakiwa wamekunywa hadi wamezima au wanafanya vituko wakasambazwa nje ya eneo la tukio ovyo ovyo na kuonekana vituko bila ridhaa yao wenyewe ni kosa kumdhalilisha mtuUnajua kwenye sherehe kuna watu wengi. Kwa hiyo kuna kuwa na mambo mengi. Watu wanajiachia kwa raha zao, wengine unakuta bia zimeshawachangamsha, hapo kuna wadada wanasaka madanga, pia unakuta wadada wengine wanatafuta wapenzi au hata mtu wa kumuomba namba. Hapo bado vituko vya wanaocheza na wanaoropoka wakipewa mic. Halafu bado unarekodiwa.
Inabidi pawe na privacy. Au pawe na private MC special kwa ajili ya private party. Na camera inakuwa 1 tu. Na hakuna kurekodi kwa simu.
Ni tabu sana hata ukipewa maiki mtu unaogopa hata kuongea maana ulimi ukiteleza tu tayari utajikuta unatrend kesho yake. Inabidi watu wanaowapa kazi hawa ma mc wawe wakali, ni kuandikishana kabisa hakuna kurusha matukio mitandaoni. Kinachohappen ukumbini kibakie ukumbini. Kurusha watu mitandaoni hovyo hovyo ni ufirauni na hawa ma mc wanatakiwa wakomeshweTulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Bora umelisema hili. Akina Haika Lawale... ukienda kwenye kumbi zao tegemea hili. Nachukia sana hawatambua utu na umuhimu wa faragha za watuTulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Haika lawele mbezi garden ni jipu. Huyu dada kutwa kupost matukio ya watu wanaotumia kumbi zakeBora umelisema hili. Akina Haika Lawale... ukienda kwenye kumbi zao tegemea hili. Nachukia sana hawatambua utu na umuhimu wa faragha za watu
Zamani walirusha picha za kumbi zilivyopambwa, chakula, maharusi wakiingia n.k lakini siku hizi camera zao zinatafuta matukio kama za watu wa udaku! Hii itakuja kuwa cost ....