Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ungeongezea pia kwa kuwaonya wale wanaoenda kuchukua mkopo benki na kuweka dhamana nyumba... Wategemee kulala nje siku si nyingi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
exactly.umepigilia yaniHabari za muda wanajamvi,
Wahenga walinena Tahadhari kabla ya hatari au vilevile Kinga ni bora kuliko tiba, basi nami naomba nianze kutoa tahadhari kama ifuatavyo.
Najua ni watanzania wengi wenye nia ya kuanzisha biashara ili kuweza kujikwamua kiuchumi, lakini pia kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kuanzisha biashara yeyote ile ili iweze kuwa biashara yenye mafanikio.
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo kwa sasa inamlazimu mtu anaetaka kuanzisha biashara kutafakari kwa kina zaidi juu ya changamoto zinazoikumba sekta ya biashara na uchumi kwa ujumla nchini.
Kwa ufupi tu nianze kwa kusema mzunguko wa pesa nchini umedhoofika kama si kupungua sana hadi kufikia kiwango ambacho kimeanza kutupa hofu wananchi mfano mzuri ni jinsi tunavyoona wafanyabiashara wanavyolalamika kwamba mauzo yamepungua sana kwa zaidi ya asilimia 50 yaani kama mwaka 2015 mtu alikuwa anaweza kuuza mpaka sh. ml 1 kwa siku basi sasa kupata tu laki 5 imekuwa ni kama ndoto. Msingi wa biashara yoyote ile ni wateja, sasa hivi wateja(wananchi) hawana pesa maana yake ni kwamba biashara lazima ife.
Kwa wewe unaepanga kufungua biashara kwa kipindi hiki embu jaribu kuanzisha biashara ambayo wateja watakuwa wana uhitaji wa bidhaa yako iwe ni kwa hiari au lazima. mfano Biashara ya chakula, mtu hawezi kuacha kula hata uchumi ushuke kufikia zero. n.k
Sina nia ya kumkatisha mtu tamaa ila nimejaribu kueleza kile nikionacho mm, nakaribisha maoni na sikatai kukosolewa, Ahsanteni.
Duuuuu.......INAWEZA KUWA AWAMU YA KUUMWA....Mungu aepushie mbali kwa kweliUsisahau na maduka ya dawa maana kuumwa kupo pale pale tena yawezekana awamu hii watu wakaumwa zaidi[emoji5][emoji5]
Achana na huyo inawezekana katika maisha yake hajawahi kufanya biashara halafu anaanza kupiga porojoMkuu nikwel anachoongea jamaa me mwenyewe ni mfanya Biashara nakuhakishia sasa hivi mauzo yamepungua kwa zaidi ya 60% mkuu
Uvivu unamsumbua, ukosefu wa ubunifu!Zimbabwe yenyewe ambayo uchumi wake ushakufa lakini watu bado wanafanya biashara, sembuse nchi bikra kama bongo, miporojo kibao tena iliyojaa mihemko ya kibavicha
[emoji3]Usisahau na maduka ya dawa maana kuumwa kupo pale pale tena yawezekana awamu hii watu wakaumwa zaidi[emoji5][emoji5]
Pole sana mkuuUpo sahih mkuu, mi Nina duka LA vifaa vya ujenzi. Si Uzi kabisa aisee
Ila kuheshimu mawazo yake ni vizuri pia,kumbuka ilala biashara nyingi zimekufa.Zimbabwe yenyewe ambayo uchumi wake ushakufa lakini watu bado wanafanya biashara, sembuse nchi bikra kama bongo, miporojo kibao tena iliyojaa mihemko ya kibavicha
Pia,jana nimepita katikati ya mji wa Morogoro na kuuliza bidhaa moja maduka yote na sikupata,Mhindi mmoja akaniambia Biashara ni mbaya sana,haamini kama huyu Rais na mfumo wake vitadumu muda gani.Mimi mwenyewe nikamwambia usiseme makazini ni kwema,Kuna shida isiyo ya kawaida Rais ni kama anongoza wanyama Serengeti wanapohama kwenda Kenya.Ila kuheshimu mawazo yake ni vizuri pia,kumbuka ilala biashara nyingi zimekufa.
Hamishia duka lako DODOMA, Usipouza tena achana na hiyo biashara huiwezi au tafuta mshauriUpo sahih mkuu, mi Nina duka LA vifaa vya ujenzi. Si Uzi kabisa aisee
Bila shaka ww ni mwalimu wa shule ya msingi.Ila hatuwazi mikurya na mijizi michagga
Ila ILALA ni halmashauri zake zinaongozwa na upinzani kwanini wasiwawekee watu unafuu wa ushuru maana tunaaminishwa ndio wakombozi wa shida zoteIla kuheshimu mawazo yake ni vizuri pia,kumbuka ilala biashara nyingi zimekufa.
Na bila shaka biashara yako ni Grocery na banda la chipsy na kitimotoBila shaka ww ni mwalimu wa shule ya msingi.
Ushauri ni mzuriHabari za muda wanajamvi,