TAHADHARI kwa mnaotaka kuanzisha biashara nchini Tanzania kwa sasa!

TAHADHARI kwa mnaotaka kuanzisha biashara nchini Tanzania kwa sasa!

na biashara ya majeneza na sanda maana hapo kwenye watu wengi kuumwa kuna watakaotangulia mbele za haki
Misalaba na yale mawe ya kuzikia waislam wakifa nalo muhimu watu huku wanauza nyumba na viwanja kwa speed ya ajabu sana
 
Usisahau na maduka ya dawa maana kuumwa kupo pale pale tena yawezekana awamu hii watu wakaumwa zaidi[emoji5][emoji5]
Pumbavu sana nlikua nakunywa kahawa ssa kufikia comment yako nimejikuta nacheka ghafla mpk nimepaliwa haha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Baada ya kuona avatar yako nikajua utakua na hoja tofauti mkuu. Hapo umeenda kinyume kabisa na muasisi wa hiyo ES/BI. Jamaa yako Kiyosaki anaamini kwenye matatizo ndio real entreprenuers emerges
Ulisemalo ni kweli sana mkuu ila ndugu kiyosaki amekuwa akishauri sana kuwa makini before you get into things
 
Kama biashara ya chakula inalipa na chakula kinalimwa vijijini na sio mjini basi biashara ya TRANSPORT ya chakula inaweza kulipa!!!
 
Habari za muda wanajamvi,
Wahenga walinena Tahadhari kabla ya hatari au vilevile Kinga ni bora kuliko tiba, basi nami naomba nianze kutoa tahadhari kama ifuatavyo.

Najua ni watanzania wengi wenye nia ya kuanzisha biashara ili kuweza kujikwamua kiuchumi, lakini pia kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kuanzisha biashara yeyote ile ili iweze kuwa biashara yenye mafanikio.

Kwa hali ya nchi yetu ilivyo kwa sasa inamlazimu mtu anaetaka kuanzisha biashara kutafakari kwa kina zaidi juu ya changamoto zinazoikumba sekta ya biashara na uchumi kwa ujumla nchini.

Kwa ufupi tu nianze kwa kusema mzunguko wa pesa nchini umedhoofika kama si kupungua sana hadi kufikia kiwango ambacho kimeanza kutupa hofu wananchi mfano mzuri ni jinsi tunavyoona wafanyabiashara wanavyolalamika kwamba mauzo yamepungua sana kwa zaidi ya asilimia 50 yaani kama mwaka 2015 mtu alikuwa anaweza kuuza mpaka sh. ml 1 kwa siku basi sasa kupata tu laki 5 imekuwa ni kama ndoto. Msingi wa biashara yoyote ile ni wateja, sasa hivi wateja(wananchi) hawana pesa maana yake ni kwamba biashara lazima ife.

Kwa wewe unaepanga kufungua biashara kwa kipindi hiki embu jaribu kuanzisha biashara ambayo wateja watakuwa wana uhitaji wa bidhaa yako iwe ni kwa hiari au lazima. mfano Biashara ya chakula, mtu hawezi kuacha kula hata uchumi ushuke kufikia zero. n.k

Sina nia ya kumkatisha mtu tamaa ila nimejaribu kueleza kile nikionacho mm, nakaribisha maoni na sikatai kukosolewa, Ahsanteni.
Pengine ni bora kuweka kwenye fixed deposit account.
 
Ila hatuwazi mikurya na mijizi michagga
Na lini wajita mkawq wafanyabiashara??labda kuuza dagaa sokoni kwenye Mesa,hajawai tokea mjita aliyefanikiwa kibiashara hata akaigwa kimfano...umbea umbea ndio jadi yenu na wivu kwa wanaume wenzenu na hicho ndo kinakusumbua
 
Kwani toka lini wachagga mkawa wafanyabiashara, mlishakariri kuuza duka, genge, baa na grocery st**pid
 
Wazo zuri sana ata zile kelele kajiajir usisubili kuajiriwa zmepungua mtaan
 
Kwani toka lini wachagga mkawa wafanyabiashara, mlishakariri kuuza duka, genge, baa na grocery st**pid
Jinga wewe Mzee Mengi ni mjita,Mosha ni mjita,kila kitu unategemea kwa wachaga unapiga piga kelele ,yaani mijita ni mijitu ya ovyo sana katika mkoa wa Mara mijanaume inatabia za kike kike tu
 
Zimbabwe yenyewe ambaye ambayo uchumi wake ushakufa lakini watu bado wanafanya biashara, sembuse nchi bikra kama bongo, miporojo kibao tena iliyojaa mihemko ya kibavicha
Mkuu nikwel anachoongea jamaa me mwenyewe ni mfanya Biashara nakuhakishia sasa hivi mauzo yamepungua kwa zaidi ya 60% mkuu
 
Jinga wewe Mzee Mengi ni mjita,Mosha ni mjita,kila kitu unategemea kwa wachaga unapiga piga kelele ,yaani mijita ni mijitu ya ovyo sana katika mkoa wa Mara mijanaume inatabia za kike kike tu
Nyumb kweli kwahiyo Mengi na Mosha ndo wanakufanya ulete porojo humu, mbona humtaji baba yako. Nategemea wachagg niwategemee kwa kitu gani, nyambaf Kitimoto sili wala mbege
 
Mkuu nikwel anachoongea jamaa me mwenyewe ni mfanya Biashara nakuhakishia sasa hivi mauzo yamepungua kwa zaidi ya 60% mkuu
Unafanya biashara gani maana mimi sioni athari yoyote kwangu ?
 
Usisahau na maduka ya dawa maana kuumwa kupo pale pale tena yawezekana awamu hii watu wakaumwa zaidi[emoji5][emoji5]

Hata dawa wateja watataka kukopa kama wanavyokopa chakula..kifupi kama huna hela huna tu..biashara yoyote ni ngumu sasa
 
Asante sana mkuu!
Yaani kuna mdada alikua na kampuni kubwa tu ya kukodisha magari aina zote... Awamu hii anashinda hospitali kwa presha!!! Hamna wateja wa kukodi wala kununua magari...
 
Usisahau na maduka ya dawa maana kuumwa kupo pale pale tena yawezekana awamu hii watu wakaumwa zaidi[emoji5][emoji5]
Hata biashara ya dawa imedorora na sio kwamba watu hawaumwi lkn wng wananua nusu doz wengne mpka robo na wakipata nafuu hawamaliz kabisa na wengne wameamua kuhamia kwny aloe vera... Hata kwny dawa hali ishakuwa tete npo kwny field mkuu naongea kwa uzoefu
 
Back
Top Bottom