Soma historia za nchi chawa kama hawa hawakosekani so hatutishi na haturudi nyumaKatibu itikadi na uenezi wa chama tawala Ashasema hata muandike mamilioni kwa mamilioni (labda hata ikiwa nchi nzima) wao hawababaiki.
Jamaa amesema hizi ni sawa na kelele za churaSoma historia za nchi chawa kama hawa hawakosekani so hatutishi na haturudi nyuma
Uzuri ni kwamba mpaka Sasa Sa100 hajajua adui yake mkubwa yupo wapi serikalini? Jeshini? au chamani? Hivyo kupinduliwa huyo mama ni haraka sana.Katibu itikadi na uenezi wa chama tawala Ashasema hata muandike mamilioni kwa mamilioni (labda hata ikiwa nchi nzima) wao hawababaiki.
No Reforms No ElectionJamaa amesema hizi ni sawa na kelele za chura
Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki.
Wananchi hawako tayari kushiriki tena katika mchakato wa uchaguzi unaoendeshwa bila uhalali, usawa na uangalizi huru. Wanahitaji mageuzi ya kweli katika mfumo wa uchaguzi, hasa kuhusu namna Tume ya Taifa ya Uchaguzi inavyoundwa, inavyofanya kazi na inavyowajibika.
Serikali isikose kusoma alama za nyakati. Siyo muda wa kubembeleza ukweli — wananchi wanahitaji mabadiliko ya msingi, na hawako tayari kurudi katika mizunguko ile ile ya uchaguzi wa mabavu, usio na uwazi wala uhalali.
Kila mkutano wa CHADEMA unaohudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya Watanzania si mkutano wa kawaida. Ni ujumbe wa moja kwa moja kwa serikali kwamba watu hawa hawakubaliani na uendeshaji wa nchi kwa mazoea ya mabavu na udanganyifu wa kisiasa. Wingi wa watu wanaojitokeza kwenye mikutano hii ni ishara ya kutokuunga mkono mfumo wa sasa wa uchaguzi na ni salamu ya kumkataa wazi wazi mtu au taasisi yoyote inayotaka kuhalalisha udikteta kwa kivuli cha uchaguzi.
Endapo serikali italazimisha uchaguzi Oktoba 2025 bila kufanya mageuzi haya ya msingi, na kisha kujitangaza washindi bila ridhaa ya kweli ya wananchi, basi ni vyema ikajua kuwa sauti ya “No Reforms, No Election” haitakuwa imeishia hapo.
Chachu ya mabadiliko imeshaingia ndani ya watu. Ari ya kutaka mabadiliko ya kweli haiwezi kufutwa kwa propaganda wala mabavu. Badala yake, itaibuka kwa nguvu zaidi kama mwamko wa kudai mabadiliko makubwa zaidi ya mfumo mzima wa nchi — ikiwemo Katiba Mpya.
Serikali ijue wazi kuwa:
Wananchi wanaweza kuibua kauli mpya kama vile “No Reforms, No Participation” au “No Katiba Mpya, No Participation” kuonesha kutoshiriki kwao katika siasa, utawala au hata uchumi.
Upinzani unaweza kuongoza harakati halali za kiraia kwa kusisitiza wananchi wasishirikiane na serikali, ikiwemo wito wa kugoma kulipa kodi kama njia ya amani ya kupinga mfumo usio wa haki.
Kutakuwa na ugumu mkubwa wa utawala, kupungua kwa uhalali wa serikali, na kuporomoka kwa mshikamano wa kitaifa.
Katika hali kama hiyo:
1. Serikali itakosa ridhaa halali ya wengi, jambo linaloifanya kuwa serikali batili mbele ya macho ya wananchi.
2. Na kwa kuwa uhalali wa serikali hutokana na watu, basi serikali isiyokuwa na uhalali huo haina kinga ya kikatiba ya kuendelea kutawala.
3. Hali kama hiyo inaweza kufungua mlango wa mjadala mpana wa kitaifa kuhusu hatima ya utawala huo, na hata vyombo vya usalama vya nchi kama jeshi la wananchi vinaweza kujikuta katika nafasi ya kuamua kwa maslahi ya taifa, kutafuta njia ya kurejesha utawala halali na wa wananchi.
Hili si tishio bali ni taarifa ya mapema. Serikali isione maigizo yake ya kuendelea na mchakato wa uchaguzi yasiyo shirikishi kama jambo linaloleta afya ya kisiasa. Hali hiyo huongeza mgawanyiko, husababisha mparaganyiko, na mwishowe huharibu mshikamano wa kitaifa.
Hili ni onyo la tahadhari, Serikali yenye busara husikiliza kabla hali haijafikia pabaya. Wananchi wa Tanzania ni wavumilivu lakini sio wajinga. Wanaelewa haki zao, na sasa wameamua kuzisimamia.
Wananchi hawataki vurugu — wanataka HAKI. Lakini haki ikizuiwa kwa makusudi, huzaa mgogoro. Suluhisho la kisasa na la kizalendo ni moja tu: rejea meza ya maridhiano, fanya mageuzi ya kweli, jenga upya imani ya wananchi.
No Reforms, No Election ni mwito wa mabadiliko. Ukipuuzwa, utaibuka kuwa vuguvugu la kudai ujenzi mpya wa taifa — kupitia kauli kama “No Katiba Mpya, No Participation” na hata mgomo wa raia dhidi ya mfumo mzima wa utawala kandamizi, ikiwemo kutokulipa kodi au ushirikiano mwingine wowote na serikali.
Hili ni ombi la mwisho kabla hasira ya watu haijawa janga kwa taifa.
Kama kushinda hawategemei sandulu la kura hawawezi kuelewa. Na wakielewa imekulaCCM wana kiburi sana. Sidhani kama watauchukua ushauri wako huu mzuri.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
Very insightful article. Haya mambo si yakupuuza hata kidogo, serikali lazima ichutame kwa kukubali reforms ambazo ni muhimu kwa kila chama, raia wa kitanzania na kwa ajili ya ustawi wa taifa letu pendwa kwa ujumla wake.Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki.
Wananchi hawako tayari kushiriki tena katika mchakato wa uchaguzi unaoendeshwa bila uhalali, usawa na uangalizi huru. Wanahitaji mageuzi ya kweli katika mfumo wa uchaguzi, hasa kuhusu namna Tume ya Taifa ya Uchaguzi inavyoundwa, inavyofanya kazi na inavyowajibika.
Serikali isikose kusoma alama za nyakati. Siyo muda wa kubembeleza ukweli — wananchi wanahitaji mabadiliko ya msingi, na hawako tayari kurudi katika mizunguko ile ile ya uchaguzi wa mabavu, usio na uwazi wala uhalali.
Kila mkutano wa CHADEMA unaohudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya Watanzania si mkutano wa kawaida. Ni ujumbe wa moja kwa moja kwa serikali kwamba watu hawa hawakubaliani na uendeshaji wa nchi kwa mazoea ya mabavu na udanganyifu wa kisiasa. Wingi wa watu wanaojitokeza kwenye mikutano hii ni ishara ya kutokuunga mkono mfumo wa sasa wa uchaguzi na ni salamu ya kumkataa wazi wazi mtu au taasisi yoyote inayotaka kuhalalisha udikteta kwa kivuli cha uchaguzi.
Endapo serikali italazimisha uchaguzi Oktoba 2025 bila kufanya mageuzi haya ya msingi, na kisha kujitangaza washindi bila ridhaa ya kweli ya wananchi, basi ni vyema ikajua kuwa sauti ya “No Reforms, No Election” haitakuwa imeishia hapo.
Chachu ya mabadiliko imeshaingia ndani ya watu. Ari ya kutaka mabadiliko ya kweli haiwezi kufutwa kwa propaganda wala mabavu. Badala yake, itaibuka kwa nguvu zaidi kama mwamko wa kudai mabadiliko makubwa zaidi ya mfumo mzima wa nchi — ikiwemo Katiba Mpya.
Serikali ijue wazi kuwa:
Wananchi wanaweza kuibua kauli mpya kama vile “No Reforms, No Participation” au “No Katiba Mpya, No Participation” kuonesha kutoshiriki kwao katika siasa, utawala au hata uchumi.
Upinzani unaweza kuongoza harakati halali za kiraia kwa kusisitiza wananchi wasishirikiane na serikali, ikiwemo wito wa kugoma kulipa kodi kama njia ya amani ya kupinga mfumo usio wa haki.
Kutakuwa na ugumu mkubwa wa utawala, kupungua kwa uhalali wa serikali, na kuporomoka kwa mshikamano wa kitaifa.
Katika hali kama hiyo:
1. Serikali itakosa ridhaa halali ya wengi, jambo linaloifanya kuwa serikali batili mbele ya macho ya wananchi.
2. Na kwa kuwa uhalali wa serikali hutokana na watu, basi serikali isiyokuwa na uhalali huo haina kinga ya kikatiba ya kuendelea kutawala.
3. Hali kama hiyo inaweza kufungua mlango wa mjadala mpana wa kitaifa kuhusu hatima ya utawala huo, na hata vyombo vya usalama vya nchi kama jeshi la wananchi vinaweza kujikuta katika nafasi ya kuamua kwa maslahi ya taifa, kutafuta njia ya kurejesha utawala halali na wa wananchi.
Hili si tishio bali ni taarifa ya mapema. Serikali isione maigizo yake ya kuendelea na mchakato wa uchaguzi yasiyo shirikishi kama jambo linaloleta afya ya kisiasa. Hali hiyo huongeza mgawanyiko, husababisha mparaganyiko, na mwishowe huharibu mshikamano wa kitaifa.
Hili ni onyo la tahadhari, Serikali yenye busara husikiliza kabla hali haijafikia pabaya. Wananchi wa Tanzania ni wavumilivu lakini sio wajinga. Wanaelewa haki zao, na sasa wameamua kuzisimamia.
Wananchi hawataki vurugu — wanataka HAKI. Lakini haki ikizuiwa kwa makusudi, huzaa mgogoro. Suluhisho la kisasa na la kizalendo ni moja tu: rejea meza ya maridhiano, fanya mageuzi ya kweli, jenga upya imani ya wananchi.
No Reforms, No Election ni mwito wa mabadiliko. Ukipuuzwa, utaibuka kuwa vuguvugu la kudai ujenzi mpya wa taifa — kupitia kauli kama “No Katiba Mpya, No Participation” na hata mgomo wa raia dhidi ya mfumo mzima wa utawala kandamizi, ikiwemo kutokulipa kodi au ushirikiano mwingine wowote na serikali.
Hili ni ombi la mwisho kabla hasira ya watu haijawa janga kwa taifa.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAKatika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki.

Naona wananchi wakiandaa PETROL kwa ajili ya kuchomwa vituo vyote vya kupigisha kura.OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
No reform no election.
Ni kibaya zaidi wabunge hao form 4 failure wamepewa dhamana ya kupanga hatma ya wananchi wote.Tuna wabunge wapumbavu sana ambao wametokana na katiba mbovu na tume ya kijinga ya uchaguzi. Watakao enda kutiki mungu awalaani.
Sahihi Kuna VITUO havita fikiwa na Polisi wenye siraha hivyo watakuwepo Wana MGAMBO hivyo vitawakilisha tuNaona wananchi wakiandaa PETROL kwa ajili ya kuchomwa vituo vyote vya kupigisha kura.
Ole wao watakao simamia uchaguzi huu.