Tahadhari kwa Serikali: Msipuuze sauti ya wananchi – “no reforms, no election”

wananchi wepi unaongelea? hiyo ni sera ya chadema hii nchi ni ya vyama vingi kwa hiyo chama kimoja kikikataa hio sio kauli ya wananchi.
Endelea kujidanganya kwamba hii sera ni ya CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…