mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Dokta Adeeb wa Hospitali ya Karachi, ambaye ni mtaalamu wa figo, ametoa tamko kwa kila mtu kutokunywa vinywaji vya baridi kama Pepsi, Cocacola,7up na nyinginezo wakati wa kufungua SWAUMU kutokana na kwamba kufunga kwa muda mrefu kunasababisha kukauka maji kwenye figo.
Hivyo kunywa vinywaji vya baridi na vyenye kemikali vinasababisha matatizo ya figo. Kwahiyo usinywe kinywaji chochote cha baridi wakati wa kufungua. Tumia maji au fresh juice.
Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa ndugu, jamaa na marafiki.