barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Habari zenu,
Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.
Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni "wagonjwa". Kama baba mwenye nyumba au una kijana mdogo anapooza mashine hapo, kuweni waangalifu sana.
Nina jirani yangu na pia jamaa mmoja rafiki wa jamaa ninayefanya nae kazi, wana mabinti wa kazi toka nyanda za juu kusini, imebainika ni 'wagonjwa' ingawa wao hawajui, nadhani zile takwimu zisipuuzwe. Wasinyanyapaliwe ila kuweni makini nao.
Hivyo kuweni waangalifu sana na mabinti hawa.
MPENDE NA MLINDE UMPENDAE.