TAHADHARI kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi na wasichana wa ndani wa kazi

TAHADHARI kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi na wasichana wa ndani wa kazi

Wawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apa
Hii inatokana na wanaume wa kileo pia

Mwanaume unakubali mke afanye kazi mpaka usiku wa manane
Eti mnaita kusaidiana majukumu

Mbona haumsaidiii majukumu ya kufua boxer na kupika ?
 
Hii ni kweli kabsa kuna kuna ndugu yangu alikuwa na bint wa kazi yupo strong enough gafla hali yake ikachenji,kumpeleka hospital ugonjwa hauonekani lakini anazid kudhoofika kila kukicha hakuna aliyedhania binti anaweza kuwa na ngoma baada ya miezi ikagundulika alikuwa anatumia ARV toka akiwa kwao zilipoisha akiwa kazini akaogopa kusema ikabidi ndugu yangu amrudishe kwao ikawa too late yule binti alifariki (may her soul rest in peace).tuwe makini jamani ni vyema mabinti wa kazi kuwatazama kwa jicho la tatu
 
Bora muambiane sababu walio wengi wakishaona mdada amependeza wao wanachowaza ni kuwala tu. Ila yote kwa yote wasaidizi wa ndani wanakuja kwa ajili kuwasaidia kazi wake zenu kazi ndogo ndogo za nyumbani na sio kwamba wanakuja muwafanye vyombo vyenu vya starehe.
Wake wenyewe wa siku hiz kazi kushinda saloon na kwenye vioo. Ukimgusa usiku unataka mambo anajifanya amechoka mara anajinunisha pasipo mpango. Kwa nn nisogegede dada kuliko kuswampa kwa wahaya.
 
Wawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apa
Haka kacoment kamemgusa mke wangu kabsaaaa. Housegal anafua kila kitu mpaka boxer mbaya zaid unamkuta house gal anafanya usafi chumbani kwako na kutandika kitanda then anakuandalia maji ya kuoga yena kwa heshima ya kupga magoti anakwambia baba maji ya kuoga tayar. Bado anakupkia chakula kitamu mkeo yupo tu anawaza vikao vya vikoba na outing za pombe na mashoga.
 
Habari zenu,

Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.

Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni "wagonjwa". Kama baba mwenye nyumba au una kijana mdogo anapooza mashine hapo, kuweni waangalifu sana.

Nina jirani yangu na pia jamaa mmoja rafiki wa jamaa ninayefanya nae kazi, wana mabinti wa kazi toka nyanda za juu kusini, imebainika ni 'wagonjwa' ingawa wao hawajui, nadhani zile takwimu zisipuuzwe. Wasinyanyapaliwe ila kuweni makini nao.

Hivyo kuweni waangalifu sana na mabinti hawa.

MPENDE NA MLINDE UMPENDAE.
Umejuwaje....ukiskia umbea ndo huo....
 
Wake wenyewe wa siku hiz kazi kushinda saloon na kwenye vioo. Ukimgusa usiku unataka mambo anajifanya amechoka mara anajinunisha pasipo mpango. Kwa nn nisogegede dada kuliko kuswampa kwa wahaya.
Kila anayetaka kuhalalisha jambo huwa hakosi sababu zenye kufanya lile jambo analotaka lionekane kuwa liko sahihi. Ila nikwambie tu mkuu sio vyema hivyo.
 
Shukran mkuu kwa uzi mujaarab mtu ukiamka asubuhi unatakiwa kukutana na nyuzi kama hizi sio upupu wa akina Gudume!
mi nimemblack list gudume ....arosto... hR666... moniCCCCaaa, beira baby boy na wote wenye akili kama hizi za hawa niliowataja hapo juu
 
Unashuri wawacheki afya kabla hawajaanza kutembea nao, hivi wanakuwa wameleta msaidizi wa kazi za ndani au mwanamke wa kuwastarehesha?

Kama hao wenye nyumba wana tabia hizi chafu basi hata wao hawawezi kuwa wazima.
Kuchek afya sio mpaka utembeee naye,yule bint ukijua afya yake ni salama pia maana anafanya kaz nyingi pale hata kumlea mwanao
 
Duuu nimekula beki 3 Wangu wawili na wa jirani 1.
Lakini niko salama.....kesho wife anafata mwingine......ni kisu....balaa.
Kuvumilia huwezi mkuu
Usijiroge ikaenda peku peku kuonja.
 
Bora muambiane sababu walio wengi wakishaona mdada amependeza wao wanachowaza ni kuwala tu. Ila yote kwa yote wasaidizi wa ndani wanakuja kwa ajili kuwasaidia kazi wake zenu kazi ndogo ndogo za nyumbani na sio kwamba wanakuja muwafanye vyombo vyenu vya starehe.
Kuna potokea dharura Morogoro road kama upo chalinze si vibaya kupitia MSATA
 
Wadada wa ndani watamu sana maana unafanya Kwa kujifichaficha raha kweli
 
Hahahaa. Unaweza pita Msata ila baadae ukabaki na majuto na kuona ni bora ungesubiri ile dharura iishe ukajipitia zako njia uliyoizowea ya Morogoro Mkuu.
Ilimtokea mdau wangu,ilitingisha sana ndoa yake kwakweli,na binti alisema alikuwa akiingiliwa kinyume na maumbile na ushahidi kaweka wazi, Ile ndoa ilitetemeka sana,
Kweli,short cut mbaya,jamaa aliamua kupita msata (Kutoka na HG,kwa sababu mkewe alisafiri) as short cut badala ya kusubiria Moro Rd (Mkewe arudi toka safar)
 
Dah umenena kweli tupu aiseee, niliwahi kulisema hili mahali fulani
 
Back
Top Bottom