Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kuna bint mmoja alikuja town kufanya kazi baba mwenye nyumba akaanzisha kamchezo ka kumbaka mpaka akampa mimba alipogundua yule bint ni mjamzito akamfukuza kama mbwa kurudi makwao akaenda hospital akajipata ana HIV... bahati mbaya na mwanae akafariki.............
akatafuta jinsi akarudi mjini tena safari hii akiwa amejawa na roho ya kulipiza, kisasi bahati mbaya hao waliompokea wakawa a kichanga cha miezi kama sikosei 3.mama mwenyenyumba alikuwa na tabia ya kumkaripia sana huyu msaidizi na akiwa anajua fika anamuacha na mwanae mchanga , na anaenda ofisini kila siku,dada wa kazi akaanza kumchana huyu kichanga kwenye nyayo na yeye akawa anajichanja anampaka damu yule malaika kwenye hayo majeraha sasa baada ya muda mfupi mtoto akaanza uugua bila ,kikomo ikabidi maadaktari wachukue hatua ya kuwapima wazazi na yule mtoto wwazazi wakakutwa wazima ila kichanga kimeathirika walipohojiwa sawasawa wakasma wanaishi na dada wa kazi na ndiye anayelea mtoto wakamchukua wakaenda kumpima wakakuta ameathirika kupelekwa polisi akasema anzia mwanzo hadi mwisho wa kisa cha kutenda ukatili huo akaenda mbele zaidi akasema hata mama yake ameathirika na yye ndo alikuwa anasaidia amilia kwao na aliumia sana kwa ukatili aliofanyiwa kwahiyo alikuwa analipiza kisasi
My take hawa watoto tuwalee kwa upendo, japo wengi siku hizi ni manunda napia Tuwe waangalifu sana nao ni bora kuwapima afya kwa ajili ya usalama wa familia zetu maana wengine wako kwenye revange, wengine wana matatizo ya kisaikolojia ........... NA WENGINE WANABAKWA WANAAMBUKIZWA MARADHI BILA KUJIJUA
mimi nilishindwa kabisa kuishi na hao watu nikafanya maamuzi magumu ya kumpakia mwanangu basi kumkabidhi kwa mamangu maana kila nikirudi nyyumbani ilikuwa ni kisa kipya nikaona naweza kupata kesi ya mauwaji bure