barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kabisa, ila wanaume wengi huwachukulia hawa mabinti kama washamba na hawajui kitu hivyo hudhani ni salama, hivyo hujiachia sana.Tunashukuru sana kwa ushauri, ila umakini unatakiwa kwa wanawake wote hata kwa ma sister na ma ustadhat kwasababu magonjwa yanawakumba wote na bila kujali wanatokea wapi.
sisi Ni watu wazima bana potelea mbali. Siyo kwako tu tumeshasikia huu ushauri ninmiaka nenda Rudi. Qutomber hatutaacha hasa hasa ya kuibia tamu Sana.Habari zenu!
Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.
Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni "wagonjwa". Kama baba mwenye nyumba au una kijana mdogo anapooza mashine hapo, kuweni waangalifu sana.
Nina jirani yangu na pia jamaa mmoja rafiki wa jamaa ninayefanya nae kazi, wana mabinti wa kazi toka nyanda za juu kusini, imebainika ni 'wagonjwa' ingawa wao hawajui, nadhani zile takwimu zisipuuzwe. Wasinyanyapaliwe ila kuweni makini nao.
Hivyo kuweni waangalifu sana na mabinti hawa, MPENDE NA MLINDE UMPENDAE.
Comment yako umenichekesha sana Copenhagen DNsisi Ni watu wazima bana potelea mbali. Siyo kwako tu tumeshasikia huu ushauri ninmiaka nenda Rudi. Qutomber hatutaacha hasa hasa ya kuibia tamu Sana.
Kama Akina Samsoni Na daudi watu way Mungu Hadi Mungu mwenyewe alikuwa Benet nao walishindwa kuvumilia Yani Samsoni Licha ya kutandaza miti uyahuduni hakuridhika alikuwa anafuata nyap Hadi ukanda was Gaza ije iwe sisi kizazi hiki Cha qisayngeh manabii zetu Ni Mzee wa upako Na gwajima?
Tuache bana tutandaze miti Kama ukipangiwa kufa Na ngoma ndio hivyo huwez badilisha
Habari zenu!
Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.
Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni "wagonjwa". Kama baba mwenye nyumba au una kijana mdogo anapooza mashine hapo, kuweni waangalifu sana.
Nina jirani yangu na pia jamaa mmoja rafiki wa jamaa ninayefanya nae kazi, wana mabinti wa kazi toka nyanda za juu kusini, imebainika ni 'wagonjwa' ingawa wao hawajui, nadhani zile takwimu zisipuuzwe. Wasinyanyapaliwe ila kuweni makini nao.
Hivyo kuweni waangalifu sana na mabinti hawa, MPENDE NA MLINDE UMPENDAE.
Wawacheki afya NDIO, Hii ni hata kwa mama mwenye nyumba awacheki ajue afya zao, unapowaacha watoto wako na yeye ujue kilichopo kama utakuwa umeridhika.Unashuri wawacheki afya kabla hawajaanza kutembea nao, hivi wanakuwa wameleta msaidizi wa kazi za ndani au mwanamke wa kuwastarehesha?
Kama hao wenye nyumba wana tabia hizi chafu basi hata wao hawawezi kuwa wazima.
Hiyo avatar yako, huyo ni mdada wa kazi kwako au?? Job true true!!Mzee baba sisi wahuni hatuelewi tunakula tu mzigo.
Mtoto wa mama mkubwa sisi wahuni ndiyo tunajilia mzigo hapa.....Hiyo avatar yako, huyo ni mdada wa kazi kwako au?? Job true true!!