Hii inatokana na wanaume wa kileo piaWawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apa
Wake wenyewe wa siku hiz kazi kushinda saloon na kwenye vioo. Ukimgusa usiku unataka mambo anajifanya amechoka mara anajinunisha pasipo mpango. Kwa nn nisogegede dada kuliko kuswampa kwa wahaya.Bora muambiane sababu walio wengi wakishaona mdada amependeza wao wanachowaza ni kuwala tu. Ila yote kwa yote wasaidizi wa ndani wanakuja kwa ajili kuwasaidia kazi wake zenu kazi ndogo ndogo za nyumbani na sio kwamba wanakuja muwafanye vyombo vyenu vya starehe.
Haka kacoment kamemgusa mke wangu kabsaaaa. Housegal anafua kila kitu mpaka boxer mbaya zaid unamkuta house gal anafanya usafi chumbani kwako na kutandika kitanda then anakuandalia maji ya kuoga yena kwa heshima ya kupga magoti anakwambia baba maji ya kuoga tayar. Bado anakupkia chakula kitamu mkeo yupo tu anawaza vikao vya vikoba na outing za pombe na mashoga.Wawanawake wa kileo hawajitambui ivi kama Boxer na chakula ananipikia house gal ww unategemea nini apo? Unakuta mwanamke kucha ndefu ni yeye na dressing table hata utamu wa K unapungua sass H girl na zile pilikapilika halafu ukivizia walah hutaongea haya apa
Umejuwaje....ukiskia umbea ndo huo....Habari zenu,
Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.
Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni "wagonjwa". Kama baba mwenye nyumba au una kijana mdogo anapooza mashine hapo, kuweni waangalifu sana.
Nina jirani yangu na pia jamaa mmoja rafiki wa jamaa ninayefanya nae kazi, wana mabinti wa kazi toka nyanda za juu kusini, imebainika ni 'wagonjwa' ingawa wao hawajui, nadhani zile takwimu zisipuuzwe. Wasinyanyapaliwe ila kuweni makini nao.
Hivyo kuweni waangalifu sana na mabinti hawa.
MPENDE NA MLINDE UMPENDAE.
Kila anayetaka kuhalalisha jambo huwa hakosi sababu zenye kufanya lile jambo analotaka lionekane kuwa liko sahihi. Ila nikwambie tu mkuu sio vyema hivyo.Wake wenyewe wa siku hiz kazi kushinda saloon na kwenye vioo. Ukimgusa usiku unataka mambo anajifanya amechoka mara anajinunisha pasipo mpango. Kwa nn nisogegede dada kuliko kuswampa kwa wahaya.
mi nimemblack list gudume ....arosto... hR666... moniCCCCaaa, beira baby boy na wote wenye akili kama hizi za hawa niliowataja hapo juuShukran mkuu kwa uzi mujaarab mtu ukiamka asubuhi unatakiwa kukutana na nyuzi kama hizi sio upupu wa akina Gudume!
Kuchek afya sio mpaka utembeee naye,yule bint ukijua afya yake ni salama pia maana anafanya kaz nyingi pale hata kumlea mwanaoUnashuri wawacheki afya kabla hawajaanza kutembea nao, hivi wanakuwa wameleta msaidizi wa kazi za ndani au mwanamke wa kuwastarehesha?
Kama hao wenye nyumba wana tabia hizi chafu basi hata wao hawawezi kuwa wazima.
Usijiroge ikaenda peku peku kuonja.Duuu nimekula beki 3 Wangu wawili na wa jirani 1.
Lakini niko salama.....kesho wife anafata mwingine......ni kisu....balaa.
Kuvumilia huwezi mkuu
Kinga sijawahUsijiroge ikaenda peku peku kuonja.
Kuna potokea dharura Morogoro road kama upo chalinze si vibaya kupitia MSATABora muambiane sababu walio wengi wakishaona mdada amependeza wao wanachowaza ni kuwala tu. Ila yote kwa yote wasaidizi wa ndani wanakuja kwa ajili kuwasaidia kazi wake zenu kazi ndogo ndogo za nyumbani na sio kwamba wanakuja muwafanye vyombo vyenu vya starehe.
Okey.Kinga sijawah
Hahahaa. Unaweza pita Msata ila baadae ukabaki na majuto na kuona ni bora ungesubiri ile dharura iishe ukajipitia zako njia uliyoizowea ya Morogoro road Mkuu.Kuna potokea dharura Morogoro road kama upo chalinze si vibaya kupitia MSATA
Ilimtokea mdau wangu,ilitingisha sana ndoa yake kwakweli,na binti alisema alikuwa akiingiliwa kinyume na maumbile na ushahidi kaweka wazi, Ile ndoa ilitetemeka sana,Hahahaa. Unaweza pita Msata ila baadae ukabaki na majuto na kuona ni bora ungesubiri ile dharura iishe ukajipitia zako njia uliyoizowea ya Morogoro Mkuu.