yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Hii ni tahadhari kwa wote wanaobeti 22bet hawa jamaa ikitokea umedeposit pesa yako na ikaingia kwao ila ikawa haijaingia kwenye akaunti hiyo pesa sahau kuipata kuna watu wamepoteza pesa zao nyingi tu leo ni miezi kadhaa na hakuna utakaposhitaki.
Huduma kwa wateja yao ni mbovu sana narudia ni mbovu mno utapewa majibu tunashughulikia swala lako ,kila wakati kila saa utaambiwa tunalishughulikia tatizo lako hilo jibu halitakuwa na kikomo ni muendelezo wa jibu hilo hilo mpaka utasanda mwenyewe na hela yako hutoipata.
Ikitokea umewala kulipwa pia ni mtihani ukiwithdraw kuja kuipata pesa yako mpaka watakapojisikia hii ni tofauti kubwa sana na kampuni nyingine za betting sasa usije kusema hukupata taarifa wewe furahia tu wana options nzuri ukiweka pesa yako umeweka kwao kuipata ni majaliwa.
Nawasilisha.