Tahadhari kwa Wanaobeti 22bet

Tahadhari kwa Wanaobeti 22bet

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,525
Reaction score
3,139
Hii ni tahadhari kwa wote wanaobeti 22bet hawa jamaa ikitokea umedeposit pesa yako na ikaingia kwao ila ikawa haijaingia kwenye akaunti hiyo pesa sahau kuipata kuna watu wamepoteza pesa zao nyingi tu leo ni miezi kadhaa na hakuna utakaposhitaki.

Huduma kwa wateja yao ni mbovu sana narudia ni mbovu mno utapewa majibu tunashughulikia swala lako ,kila wakati kila saa utaambiwa tunalishughulikia tatizo lako hilo jibu halitakuwa na kikomo ni muendelezo wa jibu hilo hilo mpaka utasanda mwenyewe na hela yako hutoipata.

Ikitokea umewala kulipwa pia ni mtihani ukiwithdraw kuja kuipata pesa yako mpaka watakapojisikia hii ni tofauti kubwa sana na kampuni nyingine za betting sasa usije kusema hukupata taarifa wewe furahia tu wana options nzuri ukiweka pesa yako umeweka kwao kuipata ni majaliwa.

Nawasilisha.
 
Nineona juzi watu wame-deposit na wanalaumu hawaoni pesa kwa account.
 
aisee yamenikuta nimedraw laki suta leo siku ya tatu sijaipata, nikiwaambia wananiambia niendelee kusubiri tu
 
Sasa unalalamika nini wakati taratibu zinajulikana? wapeleke kwenye mamlaka husika wawashughulikie
 
22bet
Screenshot_20211022-183706.jpg
 
Washenzi hawa kutokana na hili kuna wazo limenijiaaa
 
Hii ni tahadhari kwa wote wanaobeti 22bet hawa jamaa ikitokea umedeposit pesa yako na ikaingia kwao ila ikawa haijaingia kwenye akaunti hiyo pesa sahau kuipata kuna watu wamepoteza pesa zao nyingi tu leo ni miezi kadhaa na hakuna utakaposhitaki.

Huduma kwa wateja yao ni mbovu sana narudia ni mbovu mno utapewa majibu tunashughulikia swala lako ,kila wakati kila saa utaambiwa tunalishughulikia tatizo lako hilo jibu halitakuwa na kikomo ni muendelezo wa jibu hilo hilo mpaka utasanda mwenyewe na hela yako hutoipata.

Ikitokea umewala kulipwa pia ni mtihani ukiwithdraw kuja kuipata pesa yako mpaka watakapojisikia hii ni tofauti kubwa sana na kampuni nyingine za betting sasa usije kusema hukupata taarifa wewe furahia tu wana options nzuri ukiweka pesa yako umeweka kwao kuipata ni majaliwa.

Nawasilisha.
Which is the best beating sites bongo hapa za.kutoa mkwanja fasta na kudeposit smoothly wasio na longo longo ?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini
 
Back
Top Bottom