Mwaka wa tano huu bado nakomaa na kilimo. Somo kubwa: Lijue soko la zao unalolima; weka usimamizi madhubuti; usifuate mkumbo; tumia wataalam, kuna hatua muhim unazotakiwa usimamie mwenyewe. Mfano: kupanda, mbolea, palizi na kuvuna.