Tahadhari kwa wanaotaka kuingia kwenye biashara ya kilimo

Mwaka wa tano huu bado nakomaa na kilimo. Somo kubwa: Lijue soko la zao unalolima; weka usimamizi madhubuti; usifuate mkumbo; tumia wataalam, kuna hatua muhim unazotakiwa usimamie mwenyewe. Mfano: kupanda, mbolea, palizi na kuvuna.
 
2023 now 😂😂😂 kilimo kinaendeleaje maboss
 
Back
Top Bottom