Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Huna uzoefu. ukiambiwa hana nguo ya sikukuu unachomokaje?Mahusiano hayajawahi kua na time frame kwa maoni yangu nliwahi kupata mschana miezi hio hio ila mie mwenyewe ndio nilikua chenga mtoto alikua kanyooka kabisa yote kwa yote Allah amdumishe huko ndoani kwake alipo
SahihiNaunga mkono hoja, na kwa ujumla kabisa hakuna mahusiano ya kweli, kwasasa ni utapeli tu
Noma sanaNyongeza : ata kwa marafiki ukianza kusikia wanakuita , mkuu, tajiri,boss ya mboka,mlami,papa ...nk
kaa chonjo.
Heri waniite mwaisa mtu mbadi aseeNyongeza : ata kwa marafiki ukianza kusikia wanakuita , mkuu, tajiri,boss ya mboka,mlami,papa ...nk
kaa chonjo.
Nisome vyema utanielewa mzee sijapingana na ulolileta ila nisome vyema utanielewa kwani kuomba nguo lazima iwe mwisho wa mwaka tu mzeeeHuna uzoefu. ukiambiwa hana nguo ya sikukuu unachomokaje?
Point ya jamaa ina mashiko sanaNoma sana
Imekaa poaPoint ya jamaa ina mashiko sana
Mkuu kwa sasa hata akiwa na wapenzi wa3 ukiingia na wewe unakaribishwa wanawake wanataka kila sikukuu au hata shughuli tu awe na nguo mpya. kwahiyo kwa sikukuu hata wewe mwanaume ukiombwa utaona yupo sawa. ni tofauti na kipindi kingine chote. Kupata demu mtulivu ni bahat ya mtende.TWENZETU MKUUNisome vyema utanielewa mzee sijapingana na ulolileta ila nisome vyema utanielewa kwani kuomba nguo lazima iwe mwisho wa mwaka tu mzeee
Nakubalituko pamoja mkuu
hahahaHeri waniite mwaisa mtu mbadi asee