Tahadhari kwa wapenzi wa supu ya pweza

Chunga Sana

Senior Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
117
Reaction score
88
Hivi karibuni niliamua kufanya biashara ya Pweza hivyo nikaona ni vyema nifanye utafiti wa kina kabla ya kuanza,hii ni biashara nzuri hapa Dar es salaam na mtaji wake sio mkubwa pia inatoa fursa kwa vijana wetu.

Kilichonishtua ni kuwa daktari mmoja alinieleza kuwa Pweza huongeza protein muhimu mwilini na hawana uhusiano na kuongeza Nguvu za kiume wala si kichocheo cha body metabolism.

Hapo nikapata shauku ni kwa nini wateja wa hii kitu hupata Nguvu za ziada za mambo ya kikubwa pindi tu walapo hao pweza au kunywa mchuzi wake?

Jibu lilinistua sana maana hata mie ni mpenzi wa hawa Pweza na hata supu yake. Kumbe wauzaji huwa wananunua dawa ya kuongeza nguvu za kiume Viagra aina ya Sildenafil na kuchemshia Pweza kabla ya kuwakaanga.

Nikafanya uchunguzi kwa vijana kama wanne wanaofanya wanaofanya hii biashara maaeneo ya Ferry na Kariakoo wakathibitisha kuchanganya na Viagra.

Sikuishia hapo nikaenda kwenye Pharmacy moja na kudadisi ambapo Mfamisia mmama mtu mzima alibainisha kuwa ni kweli ana wateja wengi sana wa Viagra hio ambayo ni mahususi kwa kuchanganya na Chakula au Kinywaji.

Aisee nimekoma kula Pweza wa magengeni na sikuwa na hamu ya hio biashara nono. Nawashauri wapenzi wa Sea Foods hasa Pweza wanunue moja kwa moja Sokoni Ferry na waandae nyumbani vinginevyo with time Nguvu za kiume zitaathirika kwa kutumia Viagra bila kujua.

Nafunguka funguka.
 
Iv hii business ya pweza na supu yake inapatkana dar tu???? Wengine mikoani tunaisikilizia tu...nataman siku 1 niijaribu then nmkamatie wife nchek ka inafanya mambo kwel
 
Asante kwa kutupa mbinu ya kibiashara tuliokuwa hatujui...

Kuanzia sasa hapa gengeni kwangu hata mchemsho wa maharage natupia kitu cha viagra...

Nani kasema maharage hayaongezi nguvu za kiume....shabashhhh!!!!
 
kinjekitile aliwafanya watu wakashinda vita kisaikolojia.....hivyo hivyo na supu/pweza inaweza ikawa na mwelekeo wa kumshawisshi mtu kujituma katika hilo jambo la 5 x 6
 
Inadikitisha sana vijana wengi wanapenda hii kitu kumbe ni Nguvu ya Viagra
 
Vipi kuhusu ile mihogo mibichi na nazi zinazouzwa na kina dada hapa mjini mana naona na zenyewe wanunuzi (wanaume) wanapendelea sana
 
Vipi kuhusu ile mihogo mibichi na nazi zinazouzwa na kina dada hapa mjini mana naona na zenyewe wanunuzi (wanaume) wanapendelea sana

Mhh umegusa penyewe,,,hebu ngoja tusubiri watafiti watasemaje khs hii k2.
 
Vipi kuhusu ile mihogo mibichi na nazi zinazouzwa na kina dada hapa mjini mana naona na zenyewe wanunuzi (wanaume) wanapendelea sana
Hivyo vi vyakula asilia sidhani kama vinachakachuliwa
 

We noma ndg. Umefanya jambo jema mana wengi walikuwa wanakula bila kujua. Thanks for ur care to Tanzanians. May God bless you!:thumbup:
 
Sildenafil, sold as Viagra and other trade names, is a medication used to treat erectile dysfunction and pulmonary arterial hypertension.[1] Its use for sexual dysfunction in women is not clear.[1]

Common side effects include headaches and heart burn, as well as flushed skin. Caution is advised in those who have cardiovascular disease. Rare but serious side effects include prolonged erections, which can lead to damage to the penis, and sudden-onset hearing loss. Sildenafil should not be taken by people who take nitrates such as nitroglycerin, as this may result in a severe and potentially fatal drop in blood pressure.[1]

It acts by inhibiting cGMP-specific phosphodiesterase type 5 (PDE5), an enzyme that promotes degradation of cGMP, which regulates blood flow in the penis.

It was originally discovered by Pfizer scientists Andrew Bell, David Brown, and Nicholas Terrett.[2][3] Since becoming available in 1998, sildenafil has been a common treatment for erectile dysfunction; its primary competitors are tadalafil (Cialis) and vardenafil (Levitra).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…