Tahadhari kwa wapenzi wa supu ya pweza

Tahadhari kwa wapenzi wa supu ya pweza

Wakuu ! Wako wapi wataalam wa afya hapa JF ? Tupeni ukweli maana BAOBAO ni mpenzi wa supu ya pwenza nk
C.C. MziziMkavu

Halafu nasikia inasababisha uvibamia...kama mtu ana dushe dogo halikui linanyauka.....teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Dah....hii sio nzuri kabisa haijakaa poa hii,nakula sana hawa wadudu laiti ningejua aisee..mkuu CHUNGA sana vipi kuhusu ngisi,au nao wanaweza wakawa wanafanyiwa huo mchezo...

Samahani mkuu,ulikuwa unakula kwasababu ulikuwa na shida katika zile nguvu za kuinua dushe au ni uliamua tu kutumia bila kiwa na shida yoyote???
 
Last edited by a moderator:
kama huna magonjwa yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume k.v kisukari,figo, presha magonjwa ya mfumo wa chakula k.v vidonda vya tumbo n.k. Usihangaike na dawa za kuongeza nguvu za kiume unajiumiza bure.unachotakiwa ni kuwa na mtindo bora wa ulaji kila kitu kitakuwa sawa.booster ya nini kwa umri wa miaka kati ya 15-49 ? Utachosha hiyo penis mapema acha kabisa!

kweli kabisa mkuu!!!
 
Dah nshakulaga ina maana nimeshawahi kuboost ...yalaaaahhh

Lakini mleta naomba utujuze!! Ivi Viagra ikichemshwa inaweza kweli kuendelea kuwa na nguvu? Tena imemshwe na pweza? Basi itabidi nirudi chemistry form 3 nkasome upya!! Ifike boiling point bado iwe na madhara kwa binadamu??
 
Samahani mkuu,ulikuwa unakula kwasababu ulikuwa na shida katika zile nguvu za kuinua dushe au ni uliamua tu kutumia bila kiwa na shida yoyote???

Niko vizuri mkuu ila nilikuwa nakula tu kama kiburudisho,mwanzo sikuwa mpenzi wa pweza na ngisi nilikuwa nawaona wa ajabu but jamaa zangu wengi walikuwa wanakula so siku niliyoonja kipande kimoja tu sijaweza kuacha mpaka leo nakutana na mada hii..ila sijawahi kuona tofauti ktk kiwango changu cha uwajibikaji home hiyo ni imani tu jamii ilivyojijengea.
 
Poa poa mkuu, I hope haijakuathiri...
 
Supu ya pweza ni noma,siku mojs nimejaribu kunywa kama glasi sita kabla hata sijafika nyumbani mgegedo ukaanza kuwika kilichotokea nyumbani shem yenu anayostori full
 
Mama weeee kuna mtu wangu mmoja hivi yani akikosa hiyo supu anasikitika kweli itabidi nikampe semina leo......
 
THANKS FOR INFO,Mimi napiga zoezi tuu na kula matunda kwa wingi sili viagra wala pweza,nakula balanced diet iliyopikwa viziri bila chumvi nyingi na mafuta kdg..Afya yangu ya uzazi ipo standard sihitaji busta and im now 40 yrs
 
we noma ndg. Umefanya jambo jema mana wengi walikuwa wanakula bila kujua. Thanks for ur care to tanzanians. May god bless you!:thumbup:

usiamini bila utafiti, fanyia kazi maneno yake kwanza
 
Back
Top Bottom