nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 440
Kumbe ndio maana nikila pweza bluetooth inawaka na kusearch device.....
Hahahahaha....yaani we jamaa comments zako zinanifanyaga nicheke mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio maana nikila pweza bluetooth inawaka na kusearch device.....
Wakuu ! Wako wapi wataalam wa afya hapa JF ? Tupeni ukweli maana BAOBAO ni mpenzi wa supu ya pwenza nk
C.C. MziziMkavu
kama huna magonjwa yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume k.v kisukari,figo, presha magonjwa ya mfumo wa chakula k.v vidonda vya tumbo n.k. Usihangaike na dawa za kuongeza nguvu za kiume unajiumiza bure.unachotakiwa ni kuwa na mtindo bora wa ulaji kila kitu kitakuwa sawa.booster ya nini kwa umri wa miaka kati ya 15-49 ? Utachosha hiyo penis mapema acha kabisa!
Samahani mkuu,ulikuwa unakula kwasababu ulikuwa na shida katika zile nguvu za kuinua dushe au ni uliamua tu kutumia bila kiwa na shida yoyote???
Niko vizuri mkuu ila nilikuwa nakula tu kama kiburudisho,mwanzo sikuwa mpenzi wa pweza na ngisi nilikuwa nawaona wa ajabu but jamaa zangu wengi walikuwa wanakula so siku niliyoonja kipande kimoja tu sijaweza kuacha mpaka leo nakutana na mada hii..ila sijawahi kuona tofauti ktk kiwango changu cha uwajibikaji home hiyo ni imani tu jamii ilivyojijengea.
we umetumia ???
situmiagi booster mimi
naomba picha mkuu
nitumie namba yako ya whatsapp
Vipi kuhusu ile mihogo mibichi na nazi zinazouzwa na kina dada hapa mjini mana naona na zenyewe wanunuzi (wanaume) wanapendelea sana
tuma vocha kwanza
we noma ndg. Umefanya jambo jema mana wengi walikuwa wanakula bila kujua. Thanks for ur care to tanzanians. May god bless you!:thumbup: