Tahadhari kwa wapenzi wa supu ya pweza

Iv hii business ya pweza na supu yake inapatkana dar tu???? Wengine mikoani tunaisikilizia tu...nataman siku 1 niijaribu then nmkamatie wife nchek ka inafanya mambo kwel

Acha ufara utalala kama pono
 
Asante kwa kutupa mbinu ya kibiashara tuliokuwa hatujui...

Kuanzia sasa hapa gengeni kwangu hata mchemsho wa maharage natupia kitu cha viagra...

Nani kasema maharage hayaongezi nguvu za kiume....shabashhhh!!!!
Sio mbinu hii ni kumaliza nguvu za kiume za vijana wengi
 
Chunga Sana
Mkuu
Kwanza hongera kwa utafiti huu .
Dunia ina mambo ya ajabu sana.

Sasa ninachojiuliza ni hivi " hii thread ni ya 2015" ila hadi mwaka May, 2016 nilikuja Tanzania bado nilikuta hiyo ndiyo supu kila kijana hadi baadhi ya wanawake wanapendelea sasa hawasomi humu JF platform nyuzi kama hizi!?

Au ndiyo sikio la kufa hali sikii dawa!?.


Tusisahau hili

We need an immediate justice for our daughter Akwilina A. B.

R.I.P Binti yetu Akwilina A. B
Ndoto zako zimezimwa ghafula kama mshumaa uzimwavyo.

Daima tutakukumbuka. Kristo Yesu akuangazie mwangaza wake wa milele. Amina.
 
MSISAHAU MISHKAKI MNAYOISFIA KWA UTAMU MINGNE NI YA MBWA NA MBUZI WALIOKUFA
 
Mtoa mada katika utafiti wako huo nimeona una mapungufu mengi sana na kuonekana kama ni uzushi ama ni tafiti yenye hila ya kuharibia watu biashara zao hapa mjini na si kwa ajili ya kusaidia afya ya jamii.
Maswali muhimu:
Je biashara hiyo imeibuka ghafla sana baada ya ujio wa viagra miaka ya 2000 na kabla yake haikuwepo?
Ni wazee wangapi wateja wa hiyo kitu waliokuwa wakitumia tangu enzi kabla ya ujio wa viagra na kuonesha utofauti wa miaka ile na sasa, uliowahoji na kulinganisha majibu yao?
Je ni madaktari wangapi , zaidi ya huyo mmoja uliyesema,uliowahoji ili kuweka majibu yao kwenye mizania iliyosahihi?
Je ni watumiaji wangapi wa viagra uliowahoji ili wakupe nguvu waipatayo kwa vidonge tofauti na mchuzi ama minofu ya huyo samaki nk nk, ili mwisho wa siku uje na conclusion iliyojazwa nyama.
Hili la kukurupuka na utafiti wa kukopi majibu kutoka katika chanzo kimoja, ni uzembe ambao siku moja waweza kukuzalishia migogoro isiyo ya lazima katika jamii.
 
Kama ni kweli basi Dar wataathirika zaidi maana ndio watumiaji wakubwa wa hicho kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…