Wakuja waje
Member
- Nov 14, 2020
- 24
- 76
- Thread starter
- #41
Haha [emoji1]Bw Derick naona umekuja kujaribu kujisafisha,,,,,,wewe huwezi kusafishika wewe ni tapeli mzuri pia....kama mpaka umeshindwa kufanya kazi na mkeo kisa pesa......kama haitoshi wahindi walioweka mtaji mkubwa kipindi uhuru yako inaanza si uliwatapeli wewe haha.Mkuu, Acha Uongo. Nimefanya Kazi na nina fanya kazi na Uhuru hospital kwa Miaka 5 sahizi. Sijawahi pata Shida ya Mshahara wala Mkataba. Hadi Tanzanite hospital imefunguliwa Bado nipo Na Uhuru Hospital na Tanzanite Hospital Sijapata Hizo Shida Ulizozisema Kwa Miaka 5 yote, Na Wala sijawahi kufikiria kuja Kuacha Kazi Uhuru Hospital Unless Nijiajiri.
Mwaka 2019, Nilienda Nje Ya Tanzania Kusoma, Uhuru hospital Waliendelea kunilipa Mshahara Bila Kuchelewa, Kwa Muda wote nilio Kuwa Nasoma, Na Bila Kunikata Hata Tsh.10, Hadi Nilipo Rudi 2020 nikaendelea nao na kazi.
Sahizi Tena Nimerudi Shule. Uhuru hospital Bado Wananilipa Mshahara Bila Shida Yoyote ile. So Acha Kuwadanganya Watu.
Changamoto niliyo Iona Kwa Miaka 5 yangu ya Kufanya Kazi Kwenye hii hospital Binafsi ni Bad Altitude za WAAJIRIWA. Waajiriwa Wengi Hawana Nidhamu Ya Kazi, Wanachukulia Taasisi Binafsi Hasa Hospital Kama Ni Sehemu Ya KIJIWE. Hii ndio Changamoto kubwa. Mfanyakazi hana Nidhamu ya Kazi, Hadhamini Ajira yake, Haheshimu Kituo Kilichompa Ajira wala Mwajiri wake. Unategema Mwajiri Akuheshimu na Wewe?
Tena Nyie Ndio mnao Wadanganya watu, Lakini Kwa Kijana Anayekua Kikazi, Uwezo binafsi uwezo wa kibiashara, Uhuru Hospital Ni sehemu sahihi ya Kufanya Kazi Kama Ukibahatika kupata Ajira. Nisehemu itakayo kupa nafasi ya kukua.
Mkuu Kudanganya watu na wewe ni Mtumishi wa Serikali Hizi Ndio Nidhamu Mbovu na mbaya Ambazo Wafanyakazi wengi wanazo.
Kifupi, UHURU HOSPITAL kama Huna NIDHAMU, Huna INTERGRITY basi Wewe hapakufai kufanya kazi.
Over
Jirekebishe mzee.