Tahadhari: Kwa watafuta ajira usijaribu kuomba wala kufanya kazi hospitali hizi jijini Mwanza

Haha [emoji1]Bw Derick naona umekuja kujaribu kujisafisha,,,,,,wewe huwezi kusafishika wewe ni tapeli mzuri pia....kama mpaka umeshindwa kufanya kazi na mkeo kisa pesa......kama haitoshi wahindi walioweka mtaji mkubwa kipindi uhuru yako inaanza si uliwatapeli wewe haha.

Jirekebishe mzee.
 
Ninayo mifano mingi kuhusu uhuru kwa udhurumaji wafanyakazi....

Dentist yule amabae kwa sasa ana kituo chake pale Ghana green view ulimlipa?

Jitahidi kulipa wafanyakazi acha janja Janjaaaa.
 
Wewe utakuwa Dr Nyasebo, Hapo UHURU jamaa zangu wawili wamepita huyu wamiwisho ndio nikimpokea kituo nilichokuwepo kabla sijaacha kazi huko Mwanza! Kiufupi ni matapeli
 
Sawa
 
Wewe utakuwa Dr Nyasebo, Hapo UHURU jamaa zangu wawili wamepita huyu wamiwisho ndio nikimpokea kituo nilichokuwepo kabla sijaacha kazi huko Mwanza! Kiufupi ni matapeli
Muongo anajaribu kusafisha kisichowezekana!

Aliwatapeli hata alioanza nao kufanya biashara kipindi wanajiita NILE HEALTH CARE wakiwa waanzilishi watatu akawala chenga.....akaenda kuanzisha uhuru na wahindi ambao nao baada ya mwaka ndoa ikafa .....na hadi kufikishana kwa pilato.


Ombi langu waache ujanjajanja....wafanye vizuri kwa faida ya jamii ya Tanzania.
 

Hayo ni mawazo yako ya Kimaskini Mkuu. Mimi nina Fanya Kazi Pale Leo kesho Hadi Kesho Kutwa. Serikali Haiwezi kuwa na Mkaguzi Kama Wewe [emoji28][emoji28][emoji28] Mwenye mamlaka ya Kutoa Haki Ni Mahakama. Kama Mtu alitapeliwa Mahakam Hazipo? Hizi ni Ndio Akili za Kimaskini.

Huwezi kuniambia Kitu kuhusu Uhuru Nikakulewa mimi na Vizazi Vyangu. Siwaji Ona Mtu Akidhurumiwa Mshahara wake.

Usipende kueneza Uongo.
 
Huyu Derick ndo mmiliki sio? Naona povuu[emoji481][emoji481][emoji38]
 
Ninayo mifano mingi kuhusu uhuru kwa udhurumaji wafanyakazi....

Dentist yule amabae kwa sasa ana kituo chake pale Ghana green view ulimlipa?

Jitahidi kulipa wafanyakazi acha janja Janjaaaa.

Huyo Unajua Wewe, Uhuru haijawai kufanya kazi na Mtu kama Huyo.
 
Wewe utakuwa Dr Nyasebo, Hapo UHURU jamaa zangu wawili wamepita huyu wamiwisho ndio nikimpokea kituo nilichokuwepo kabla sijaacha kazi huko Mwanza! Kiufupi ni matapeli

Thibitisha Mkuu kuwa ni Matapeli?
 

Jamii Haifaidiki na Uhuru?, imeajiri Zaidi ya wafanyakazi 60 Uhuru Pekee, Inahudumia Zaidi ya Wagonjwa 190 unasemaje Jamii Haifaidiki?, Narudia Hakuna Mkaguzi wa Serikali kama Wewe.

Na Siwezi kuona Taasisi Inayonipa Mkate wa Kila Siku Mtu kama Wewe Anaichafua Never. Kama Wababishaji Kwanini Wameweza kuwa na Wafanyakazi Zaidi ya 60? Kam Wababishaji Kwanini Uhuru imeweza Kuwa Na Tawi jingine (Tanzanite) lilipewa Hadi Ya Hospital Ya Rufaa ya Mkoa? Kama Wababaishaji kwanini Imekuwa Ndio Hospital Yenye NEUROSURGIONE Full Time kwa Kanda Ya Ziwa?

Kama wababishaji Kwanini Inahudumia zaidi ya Wagonjwa 190 kwa siku? Kwa Tawi Moja? Hawa Wagonjwa Wanahudumiwa na Nani?

Usichukie Mafanikio Ya Mtu Jifunze, Kafanikiwa Vipi?
 
Ila Uhuru Hospital hata Mimi yalinikuta. Yule jamaa ni mbabaishaji sana. Halafu ana hasira za hapa na pale
Mke wake ni E.N.T kamdhulumu hadi yeye wakashindwana akaamua kuachana nae kikazi

Mke kaamua kuanzisha ka clinic chake pale uhuru jirani na iliyokua mount meru

Fikiria mme ana hospital na awe smart ashindwe kufanya kazi na mke wake ambae ni specialist wa magonjwa ya kinywa,pua na sikio?

Huyu jamaa ni mbabaishaji hakuna mfano

Aliwatapeli pia wenzake pale NILE HEALTH CARE akina dr Mbaraka ambao walikua CO-Pertiners


Mimi nimewapa tahadhari tu......uhuru badilikeni....mna jina kubwa ila mna uchafu mwingi.....kwa nia njema ndio maana tunawasema tunawapenda!
 

Akili ya Kimaskini, Ni lazima uhusishe Mambo ya kifamilia na Mambo ya Kazi…!!! Hii waajiriwa wengi huwa Inawagarimu sana. Unataka matatizo ya familia yako yawe matatizo ya Mwajiri wako.

Mambo ya Familia yake sisi wafanyakazi yanatuhusu Nini? Kuwa specialist, Au kuwa CEO hakumaanishi au hakukupi Guarantee ya kuendesha Mambo Ya Ndoa, Wanaachana Wachungaji, Matajiri wakubwa Duaniani, Sembuse Wafanyabiashara? Sijaona Mantiki yako ya Kuingiza Mambo ya Kifamilia Kwenye Taasisi….!!

Wewe ndio Yule mkeo anakuwa Waziri basi na wewe unataka utumie uwanaume wako watu wajue kuwa mkeo ni waziri [emoji28][emoji28] Kaa kwa Kutulia, Lete hoja zenye kueleweka….

Mbona Taasisi inazidi kukua kila kukicha?, Na Wewe Umekiri kuwa Taasisi yetu ni kubwa, Yes ni Kubwa na inakua na wanao ikuza ni Wafanyakazi tukiongozwa na CEO unaye msema Wewe kuwa ni Mbaya…!!!

Uhuru hospital imeajiri zaidi ya Specialists 6 Full time, akiwemo Neurosurgeon Mmoja, Zaidi ya MD’s 8 na hawachukui CO [emoji28][emoji28], Ina Vyumba vya Theatre zaidi ya 3, Ina CT scan, X-Ray, Ultrasound Machines 3, Hata hospital za mkoa hazina, Tumeagiza MRI machine, Nitajie Hospital Gani Mwanza Ina MRI machine? Au NEUROSURGEON Full Time?, Hata Bugando haina ila unaposema watu wasiende kuomba kazi ndio tuna Install MRI machine, halafu wewe uje kusema watu wasiombe Ajira pale ni wababaishaji una akili Wewe mkaguzi [emoji15][emoji15]

Halafu usijifanye kuwa Eti unaipenda Uhuru hospital ndio maana unasema, Mtu anaye ipenda Taasisi huwa sio mnafiki na huwa hashawishi watu wasiombe Kazi. Uhuru hospital Ina Sanduku la Maoni ulishaleta maoni yako?

Lakini kama Kuna Mfanyakazi ameonewa au kufanyiwa ndivyo sivyo si kuna CMA? Ulishaenda CMA ukaikuta Kesi ya Uhuru Hospital?

Naendelea kusema Serikali haiwezi kuwa na mkaguzi kama wewe.
 

kufaidika kinamna gani!?.. unadhani hatujui kua mna false positive za Blood smear!?, unadhani hatujui mna forge majibu ya widal test na culture ilhali culture kuna wakati haifanyiki!?.. mdogo wangu amemaliza Bugando na amefanya hapo labortory!.. mambo mengine hayafai ila watu wananyamaza tu!..

katika wote aliofanya nao kijana wangu hapo hakuna ambae alipewa mikataba zaidi ya story za alfu lela ulela, ndo maaana wanaposumbuliwa kulipwa wanashindwa kufungua kesi kulalamika maana hata huko mwenye pesa atashinda tu ukizingatia hata mkataba hakupewa!. yaaan maelewano kauli, na mtu akisisitiza sana mnadai tunakua assess kwanza, What The https://jamii.app/JFUserGuide!?. vingine uhuru mnanyamaziwa tu,

we piga promo piga mbanga unavoweza ila sitajishughulisha na wewe!.

Mwanza sehemu safe kwa vipimo vya kimaabara atleast naona ni Lancet wako pale ghana, agakhan na kamanga, huku pengine private madesa ni mengi sana..
 
Madaktar mnakazi sana ,polen
 
Vituo vyote hivyo kuharibiana? Ushawahi kufanya kazi hivyo vituo?
Mapopoma class A at the corner.
Thread writter kasema yeye ni inspector.

Muwe wepesi wa kusoma kwanza na wagumu wa ku comment utopolo kirahisi.

shubamiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…