Tahadhari: Kwa watafuta ajira usijaribu kuomba wala kufanya kazi hospitali hizi jijini Mwanza

Kwamba uhuru hsptl imekusomeshaaaa[emoji2][emoji2][emoji2]aaahh thubutu ww utakua una share na hiyo hsptl
 
Mmiliki wa Hospital umekuja kwa povu bin povuka....badilikeni aisee.
 
Haijalishi ni kwaa namna gani mnavifaaa tibaa sijui matakataka gani km hamuwatendei haki watumishi wenu ni kazi bureeee

Uko juu kuna mdau kasema mnagushi mpk majibu ya vipimo hii ni hatari sana kwa mustakabali wa wagonjwa wateja wenu

Ukiendeleza ubishi madr waliopita hapo watazidi kuwaumbuaaaa

Badilikeni.
 

Una ushahidi?, ni vipi mtu Ata Force B/S iwe Positive? Ulikuja Ukakosa Reagents Za Widal Mkuu? Kuna Board Ya Maabara kwanini hukupeleka malalamiko? By the Way Uhuru Culture zote zinafanyikia Tanzanite. Huyo Mdogo wako Muulize Vizuriii kuhusu Maabara ya Uhuru, Uhuru maabara huwa hatuchukui vilaza ndio maana atakuwa alishindwa
 

Mwambie athibitishe
 
Yaani umefanya ujinga mkubwa kuja kujitetea kwa kutia chumvi sana. Basi naamini maneno ya mleta mada. Haiwezekani eti uliacha kazi ukaenda kujiendeleza nje ila mshahara wakawa wanakulipa. Hospitali gani private inafanya hivyo, unatuona sisi wapumbavu?
 
kila jukwaa una mambo ya kipuuzi na ujinga ujinga
 

Mkuu Wewe hujafanya kazi Hospitalini, Hakuna Hospital ambayo wagonjwa hawajawahi kulalamikia majibu, Na hii hutokana na uelewa Mdogo wa Mgonjwa vs Dalili anazozipata, au majibu aliyoyategemea. Ndio maana hata wizara ya Afya ilianzisha Kampeni ya Kusema Sio KILA HOMA NI MALARIA NENDA KITUO CHA AFYA UKAPIME. Hawakuwa wajinga ni kwasababu wagonjwa wanaenda Hospital Majibu yao au tayari wamesha meza Dawa. Nenda MNH, Nenda KCMC, Hospital zote kubwa Utaona Majibu Yanalalamikiwa. Kwenye Sector ya Afya Sio Kitu cha Ajabu.

Lakini Kama Uhuru Hospital, Majibu ya Mgonjwa Hawezi kufanyiwa Figisu Kwasababu Tuna machines za Kufanya Hivyo Vipimo. Na Vipo vipimo ambavyo hatufanyii Mgonjwa Anaambiwa.

Hiyo B/S unayo sema sisi Tunafanya control pia Na MRDT usiongee kitu Ambacho Hukijui Muulize tena Mdogo wako
 

Uhuru Hospital, Nenda Kaulize File Langu. Shida nini Mkuu? Na Sikuacha Kazi Niliomba Ruhusa ya kwenda Kusoma. Sijawahi Acha Kazi mkuu. Hawafanyi hivyo kwenye Taasisi Yako, Mimi ni Shuhuda nimefanyiwa hivyo. Na Naitetea Uhuru kwasababu Ndio sehemu Inayonifanya Nile na Kuingia Jamii Forum kupitia Mshahara wanao Nilipa.

Mkuu mbona Una Panic? Relax na
 
Mimi sio Mkaguzi, Mkaguzi ni aliye leta Mada.
Mkuu private nyingi kwanini hamtoi mkataba wa ajira?
Huwa mnafanya hivyo kwa lengo lakuwatumikisha watu bila ujira!

Umetumia nguvu nyingi kutetea kwa sababu wewe una share hivyo pesa unapata chapu sio?
Kwa vijana mnao wajiri hamuwalipi au mnawalipa kidogo kidogo alfu maneno ya tuvumiliane yanakuwa mengi.

Maoni yangu
Kunifanyisha kazi mwisho wasiku unaleta janjajanja usitegemee heshima itafata mkondo..ukicheza nakuzaba vibao😂😂
 

Mkuu, Kwanza Kabisa Mtu yeyote Yule Anaye Ajiriwa Anajua Wajibu na Haki Yake zake, ndio maana Serikali Ilitoa, Sheria za Ajira na Mahusiano Kazini, Ikaweza na Haki na Wajibu wa Muajiriwa na Muajiri. Kukiwa na Kipengele cha Umuhimu wa mkataba Wa kazi. Kama Umeenda kuomba Kazi ukaanza Kufanya Bila Mkataba au kuomba Mkataba Unataka Kusema Muajiri ndio Ana shida?, wewe Hadi unaanza Kazi Hujui Umuhimu Wa Mkataba? Na Kwanini Ukubali kuanza kufanya Kazi Bila Mkataba?, Japo sio Kwamba Private zote hazitoi mikataba Hapana, Private nyingi sanaa Zinatoa Mikataba.

Na Wajibu wako Ni Mmoja Tuu, Kabla Hujaanza Kazi kaa chini Na Muajiri msign Mkataba. Ukianza kazi Bila Mkataba Hayo ni Mahusiano Yako na Maelewano yako kati ya Wewe Na Muajiri wako, Na Chochote kikitokea usitafute wa kumtupia Lawama Kwasababu ulikuwa unajua Haki zako na Wajibu Wako.

Ukisema Private Masilahi ni Madogo, Umekubaliana Nini Na Muajiri Wako, Makubaliano Yenu mmeyaweka kwenye Maandishi? Usipo fanya hivi kwasababu ya Uhitaji wa kazi au umekaa sana nyumbani au soko la Ajira ni Gumu Unajitafutia matatizo wewe na Sio Muajiri. Hii ni Muhimu sanaaa Watu wanao hangaika na Ajira kuelewa badala ya kuja kumtupia mtu lawama.

Lakini, Kazini Tunaendeshwa sanaaa Na Mahusiano. Ndio maana Serikali Ileta Kipengere cha Mahusiano Kazini, Ni kipengele muhimu sanaaa kinaenda zaidi ya Mikataba… Mfano Sheria Ya Ajira kazini inatambua Ili upate ruhusa ya Kwenda Msibani ni Lazima Aliye fariki awe mmoja ya wale walio tajwa kwenye Mkataba naamanisha Neutral Family, Lakini Mtu unafiwa na Mjomba Wa Mama Yako Sijui, Kwakutambua Umuhimu wa Mahusiano kazini Muajiri anakupa Ruhusa ya wewe kwenda Kuhudhuria mazishi, Japo Mkataba na Sheria Hazimlazimishi kufanya hivyo. Hivi Vitu ni lazima Waajiriwa Waelewee badala ya kwenda Kuwatupia Lawama Waajiri kama Mleta mada Alivyofanya.

Sheria zipo Wazi, Usipolipwa kwa muda gani unaenda CMA kufungua Mashtaka. Lakini Mahusiano Bado yanaenda Nje ya Mkataba. Kuna Kipindi muajiri Hupitia Changamoto za Kifedha, Anawasiliana Na Wafanyakzi kuwa Mshahara utachelewa Kwa Sababu 1,2,3 Wewe kama Muajiriwa Uta Reason Je Hizi sababu nazopewa ni Kweli au hazina Mashiko. Utafanya maamuzi. Lakini isiwe wewe Hutimizi Wajibu wako Lakini unataka Muajiri Akutimizie wajibu wake, Hapana. Bado serikali ilienda mbali Ikaleta Haki na Wajibu wafanyakazi na Muajiri, Kwamba Kila Haki ina Wajibu na Kila Wajibu una Haki.

Kuendelea Kuvilalamikia Hivi Vituo Kwenye JF haiwezi kuwa suruhu kama Wanaoajiriwa hawata elewa Haya. Nenda Mahakamani Kesi za madai na zingine zote huanzia Kwenye Mazungumzo mahakama hutoa muda wa nyie kujadiliana na kuona kama kuna umuhimu wa Kuendelea na Kesi au ifutwe, kesi nyingi zinaishia kwenye mazungumzo na Maelewano kwasababu kuna mtu hakuwa anatambua wajibu na haki zake.


Mleta Maada Amekuja na Mlengo wa Kusema vituo Ambavyo yeye havipendi na hana Ukweli Wa anayo yasema. Hivyo vituo alivyo vitaja Naona watu wakifanya kazi na kufurahia, Na Kuna Vitu hajavitaja watu wanalalamika Vile vile lakini Ukweli wake ni Upi?

Masuala Ya Ajira huwezi Kumuamlia mtu au kumsemea. Kuna waalimu wangapi wanaidai Serikali? Wafanyakazi Wangapi Wanaidai Serikali? Ulisha sikia mtu anasema Usiombe ajira serikalini kwasababu hawalipi?
 
Aisee usingetaja uhuru ningeshangaa sana jmn derick ana dharau yule mtu alafu mitandaoni ana vyo ji express ni tofauti na ukikutana nae live kaka ana dharau haswaa...sitasahau lakini aliwai nipotezea muda wangu kanitoa mkoani mpaka mwanza mwisho wa siku nakuta kwenye interview ni yeye na mkewe ndo wanaendesha interview alafu dharau zake sasa
 
Wewe utakua meneja au mkirugenzi wa moja wapo wa hizo hospitali..unakuja kujisafisha kijanja tumesha kujua..acha wizi na udhurumati..hao ni binadamu wenzako nao wanafamilia zinawategemea...roho mbaya tu kunyonya wenzako.

Serikali imesikia na imeona...

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndio ni mawazo ya Kimaskini Hata Wewe una Mawazo ya Kimaskini, Mawazo ya kimaskini ni kutaka Tajiri awe kama yeye aishi kama yeye Maskini anavyo fikiria.
Ungekua na mawazo ya kitajiri usingekuja humu kubishana na masikini..acha udhulumati mwisho wake mbaya..lipa wafanyakazi stahiki zao na wape mikataba..janja janja itakupeleka pabaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…