jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wewe kweli kilaza..burn ndio kitu gani..acha wizi na nikufundishe kitu ukitaka kujibu hoja ondoa hasira na chuki..mana hizo huondoa uwezo wa akili tukafakari..sasa kupata burn ndio kufanyeje..lipa wafanyakazi wape mshahara..na muache kubambikia watu ugonjwa kupitia vipimo feki ili mpige hela za dawa..mna sababisha mzigo wa magonjwa kwa jamii hususani sualala AMR.Nisije nikakujibu Nika Pata Burn, Kwa kuwa wewe Umekuja JF Juzi endelea kuandika hivyo hata ukipata Burn ni kwasababu hujielewi.
Umeandika ujinga mtupu..upotolo..lipa wafanyakazi kwa wakati..wape mkataba ndio sheria ya ajira inataka hivyo.Mkuu, Kwanza Kabisa Mtu yeyote Yule Anaye Ajiriwa Anajua Wajibu na Haki Yake zake, ndio maana Serikali Ilitoa, Sheria za Ajira na Mahusiano Kazini, Ikaweza na Haki na Wajibu wa Muajiriwa na Muajiri. Kukiwa na Kipengele cha Umuhimu wa mkataba Wa kazi. Kama Umeenda kuomba Kazi ukaanza Kufanya Bila Mkataba au kuomba Mkataba Unataka Kusema Muajiri ndio Ana shida?, wewe Hadi unaanza Kazi Hujui Umuhimu Wa Mkataba? Na Kwanini Ukubali kuanza kufanya Kazi Bila Mkataba?, Japo sio Kwamba Private zote hazitoi mikataba Hapana, Private nyingi sanaa Zinatoa Mikataba.
Na Wajibu wako Ni Mmoja Tuu, Kabla Hujaanza Kazi kaa chini Na Muajiri msign Mkataba. Ukianza kazi Bila Mkataba Hayo ni Mahusiano Yako na Maelewano yako kati ya Wewe Na Muajiri wako, Na Chochote kikitokea usitafute wa kumtupia Lawama Kwasababu ulikuwa unajua Haki zako na Wajibu Wako.
Ukisema Private Masilahi ni Madogo, Umekubaliana Nini Na Muajiri Wako, Makubaliano Yenu mmeyaweka kwenye Maandishi? Usipo fanya hivi kwasababu ya Uhitaji wa kazi au umekaa sana nyumbani au soko la Ajira ni Gumu Unajitafutia matatizo wewe na Sio Muajiri. Hii ni Muhimu sanaaa Watu wanao hangaika na Ajira kuelewa badala ya kuja kumtupia mtu lawama.
Lakini, Kazini Tunaendeshwa sanaaa Na Mahusiano. Ndio maana Serikali Ileta Kipengere cha Mahusiano Kazini, Ni kipengele muhimu sanaaa kinaenda zaidi ya Mikataba… Mfano Sheria Ya Ajira kazini inatambua Ili upate ruhusa ya Kwenda Msibani ni Lazima Aliye fariki awe mmoja ya wale walio tajwa kwenye Mkataba naamanisha Neutral Family, Lakini Mtu unafiwa na Mjomba Wa Mama Yako Sijui, Kwakutambua Umuhimu wa Mahusiano kazini Muajiri anakupa Ruhusa ya wewe kwenda Kuhudhuria mazishi, Japo Mkataba na Sheria Hazimlazimishi kufanya hivyo. Hivi Vitu ni lazima Waajiriwa Waelewee badala ya kwenda Kuwatupia Lawama Waajiri kama Mleta mada Alivyofanya.
Sheria zipo Wazi, Usipolipwa kwa muda gani unaenda CMA kufungua Mashtaka. Lakini Mahusiano Bado yanaenda Nje ya Mkataba. Kuna Kipindi muajiri Hupitia Changamoto za Kifedha, Anawasiliana Na Wafanyakzi kuwa Mshahara utachelewa Kwa Sababu 1,2,3 Wewe kama Muajiriwa Uta Reason Je Hizi sababu nazopewa ni Kweli au hazina Mashiko. Utafanya maamuzi. Lakini isiwe wewe Hutimizi Wajibu wako Lakini unataka Muajiri Akutimizie wajibu wake, Hapana. Bado serikali ilienda mbali Ikaleta Haki na Wajibu wafanyakazi na Muajiri, Kwamba Kila Haki ina Wajibu na Kila Wajibu una Haki.
Kuendelea Kuvilalamikia Hivi Vituo Kwenye JF haiwezi kuwa suruhu kama Wanaoajiriwa hawata elewa Haya. Nenda Mahakamani Kesi za madai na zingine zote huanzia Kwenye Mazungumzo mahakama hutoa muda wa nyie kujadiliana na kuona kama kuna umuhimu wa Kuendelea na Kesi au ifutwe, kesi nyingi zinaishia kwenye mazungumzo na Maelewano kwasababu kuna mtu hakuwa anatambua wajibu na haki zake.
Mleta Maada Amekuja na Mlengo wa Kusema vituo Ambavyo yeye havipendi na hana Ukweli Wa anayo yasema. Hivyo vituo alivyo vitaja Naona watu wakifanya kazi na kufurahia, Na Kuna Vitu hajavitaja watu wanalalamika Vile vile lakini Ukweli wake ni Upi?
Masuala Ya Ajira huwezi Kumuamlia mtu au kumsemea. Kuna waalimu wangapi wanaidai Serikali? Wafanyakazi Wangapi Wanaidai Serikali? Ulisha sikia mtu anasema Usiombe ajira serikalini kwasababu hawalipi?
Sikia mkuu. Tenda haki, lipa wafanyakazi wako. Hata kama kuwapa mikataba ni vigumu, najua sometimes inaweza kukupa shida kulingana na position ya taasisi yako ila kulipa salary kwa wafanyakazi kusiwepo na blah blah. Hiyo ni dhambi kubwa mnafanya. Usipowapa mishahara yao sahihi hutokufa?Uhuru Hospital, Nenda Kaulize File Langu. Shida nini Mkuu? Na Sikuacha Kazi Niliomba Ruhusa ya kwenda Kusoma. Sijawahi Acha Kazi mkuu. Hawafanyi hivyo kwenye Taasisi Yako, Mimi ni Shuhuda nimefanyiwa hivyo. Na Naitetea Uhuru kwasababu Ndio sehemu Inayonifanya Nile na Kuingia Jamii Forum kupitia Mshahara wanao Nilipa.
Mkuu mbona Una Panic? Relax na
Aisee usingetaja uhuru ningeshangaa sana jmn derick ana dharau yule mtu alafu mitandaoni ana vyo ji express ni tofauti na ukikutana nae live kaka ana dharau haswaa...sitasahau lakini aliwai nipotezea muda wangu kanitoa mkoani mpaka mwanza mwisho wa siku nakuta kwenye interview ni yeye na mkewe ndo wanaendesha interview alafu dharau zake sasa
Wewe utakua meneja au mkirugenzi wa moja wapo wa hizo hospitali..unakuja kujisafisha kijanja tumesha kujua..acha wizi na udhurumati..hao ni binadamu wenzako nao wanafamilia zinawategemea...roho mbaya tu kunyonya wenzako.
Serikali imesikia na imeona...
#MaendeleoHayanaChama
Ungekua na mawazo ya kitajiri usingekuja humu kubishana na masikini..acha udhulumati mwisho wake mbaya..lipa wafanyakazi stahiki zao na wape mikataba..janja janja itakupeleka pabaya.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe kweli kilaza..burn ndio kitu gani..acha wizi na nikufundishe kitu ukitaka kujibu hoja ondoa hasira na chuki..mana hizo huondoa uwezo wa akili tukafakari..sasa kupata burn ndio kufanyeje..lipa wafanyakazi wape mshahara..na muache kubambikia watu ugonjwa kupitia vipimo feki ili mpige hela za dawa..mna sababisha mzigo wa magonjwa kwa jamii hususani sualala AMR.
#MaendeleoHayanaChama
Kama kuna vituo vya Afya na Hospitali binafsi zenye majina makubwa lakini zenye kujaa ubabaishaji, basi Mwanza ni kinara. Huenda 90% ya vituo vinafsi vya Afya mwanza mjini ni taasisi za kitapeli. Hiyo hospitali inayoitwa Uhuru pamoja na Tanzanite (wamiliki ni wale wale) ni taasisi za kitapeli kabisa kwenye suala la ajira. Nimewahi kukutana na watu kadhaa wakisema hayo, ni sifa mbaya ambayo inafahamika sana.
Umeandika ujinga mtupu..upotolo..lipa wafanyakazi kwa wakati..wape mkataba ndio sheria ya ajira inataka hivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Du naona timu ya uchunguz itatua hapo wiki haitoisha
Sikia mkuu. Tenda haki, lipa wafanyakazi wako. Hata kama kuwapa mikataba ni vigumu, najua sometimes inaweza kukupa shida kulingana na position ya taasisi yako ila kulipa salary kwa wafanyakazi kusiwepo na blah blah. Hiyo ni dhambi kubwa mnafanya. Usipowapa mishahara yao sahihi hutokufa?
Kuna shuhuda nyingi nimepokea pm dah,nina muda zaidi ya mwaka tangu nihame Mwanza
Nitataoa mrejesho,kifupi ni hatari serikali piteni vituo hivyo mkaangalie madudu....na vingne vimeongezeka
Nitaleta mwendelezo.
We jamaa hata kibarua tu akikufanyia kazi yako hapo usipomdhulumu ashukuru sana. Wapo jamaa umewatendea ndiyo sivyo hapo. NawafahamuYalikukuta Yapi Mkuu? Na Wewe Uliitendea Nini Taasisi?
Halafu anatufanya sisi humu kama watoto..kabaki yeye tu kujidefend..kama unafanya vyema watu watakusemea sio wewe..ukiona watu wengine hawakusemei unahangaika pekeako kujisemea ujue tatizo lipo.We jamaa hata kibarua tu akikufanyia kazi yako hapo usipomdhulumu ashukuru sana. Wapo jamaa umewatendea ndiyo sivyo hapo. Nawafahamu
Nilifanya na niliitwa vzuri .Ulishindwa Interview au walikuwa na Dharau? Mtu mwenye Dharau angekufanyia interview?
Hasa hiyo salaaman h/c ni ya kifala sana kuna jamaa mwenye kipara hana roho mbaya sana.Habarini wanajukwaa
Naomba nijikite kwenye mada yangu.
Pengine kutokana na ukosefu wa ajira,kama mtanzania mwenzenu ambae kwa nyakati tofauti nimewahi kuwa katika mkoa wa Mwanza kikazi kama mkaguzi wa maswala ya afya,nimekutana na kisanga cha ubabaishaji na usumbufu kwa baadhi ya hospital za watu binafsi mkoani humo.
Natoa tahadhari ya kwamba ukiomba kazi katika hospital hizi tambua unajitolea la sivyo utapata msongo wa mawazo!
1. HURUMIA WATOTO HOSPITAL
Hospital hii ipo mtaa wa kilelu-Mabatini.
Ni hospital nzuri yenye miundombinu ya kisasa.
Hii hawalipi kabisa mishahara, ukiajiriwa watakubali kiasi chochote cha mshahara ukibahatika utalipwa nusu au awamu moja baada ya hapo hesabu maumivu.
Mabingwa wa kubadili wafanyakazi maana hakuna mtu huvumilia usumbufu, matokeo yake hospital hii imekimbiwa na wagonjwa na iko kwenye mwelekeo wa kujifia.
Hakuna mfanyakazi mwenye mkataba.
2. ALJUMAA HEALTH CENTRE MWANZA
Kituo kidogo katikati ya soko kuu la mwanza la zamani kwenye jengo la msikiti wa Ijumaa.
Hospital ina miundombinu bora sana....iko equipped vizuri sana,inazo mashine za kisasa na vifaa bora sana nadiriki kusema moja ya hospital yenye vitu vizuri sana iko kwenye top 3 ya hospital zenye vifaa vya kisasa kwa mkoa huo.
Pamoja na sifa nzuri nilizotaja hapo juu,kituo hiki kina shida ya uongozi.
Kila kukicha wanabadili wafanyakazi na mshahara ni mpaka maombi,inachukua zaidi ya miezi 2 au 3 wafanyakazi kulipwa
Kazi ya kituo hiki sio guarantee ni kama vibarua tu
Hakuna mfanyakazi mwenye mkataba kama utakuta mkataba ni ubabaishaji tu
Wafanyakazi kituo hiki hawana likizo wala day off!
Iko kwenye mwelekeo wa kujifia.
3. UHURU HOSPITAL
Ipo mtaa wa uhuru karibu na mtaa maarufu wa mlango mmoja.
Moja ya hospital bora sana mwanza ikiwa na miundombinu safi na ya kisasa.
Shida kubwa ni uongozi na mmiliki kua mbabaishaji
Inabadili wafanyakazi kama mvua na mishahara haieleweki wafanyakazi njaa kali
Sio sehemu salama kwa mtafuta ajira
Iko kwenye uelekeo mbaya kama mmiliki wake hatabadirika.
Mikataba hakuna
4. SALAAMAN HEALTH CENTRE MWANZA
Ipo mtaa wa mission karibu na njia panda ya bugando jirani na msikiti wa wahindi ule mweupe.
Kituo kizuri kiasi chake.
Kina tatazo la uongozi
Wanafukuza wafanyakazi kila kukicha, kufanya kazi kituo hiki unatakiwa uwe mvumilivu kuliko uvumilivu wa AYUBU!
Mshahara wanatoa nusu nusu, mfano leo utapewa laki kesho laki 2 baada ya wiki watamalizia
Hawatoi mkataba na wanafukuza na haupati haki yako popote
Usumbufu kwa wafanyakazi umepelekea kukosa wateja.
Mwelekeo wake ni kujifia.
5. STAR MED CARE
Ni dispensary ipo mtaa wa mabatini kama unaelekea shule ya msingi mabatini.
Uongozi ndio changamoto,hali inayopelekea kazi kuharibika matokeo yake kukosa mishahara.
Hizi ni baadhi ya hospital sumbufu sana na si salama sana kwa mtafuta ajira.
Usiku mwema!
Mkuu Gentamycine huyo jamaa kasema ukweli, hizo zotee alizozitaja ni hosp za ubabaishaji na hakuna mtu anayepewa mkataba, pia mshahara unaweza kusubiri zaidi ya miezi mitatu pia zinaongoza kwa unyanyasaji kwa wafanyakazi wao, wanakauli zao kuwa "shida zako ndio zilizokuleta hapa"Kwahiyo kwa Kukosa Kwako Ajira Kote huko ndiyo kwa Hasira zako umeamua uje JamiiForums Kuwachafua?
Yaani inaingia Akilini kweli Wewe Mtu Mmoja uyajue Mapungufu yao ( hizi Taasisi / Zahanati / Hospitali ) zote halafu Serikali yenye Mkono mrefu kupitia Wizara na Taasisi zake Nyeti wasijue?
Inaonyesha una Majungu na Mswahili.