Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

Majini pia yapo kwa ajili ya wanawake wapenda pesa na kujitongozesha kwa wanaume wazuri na wenye pesa,hivyo nanyi wanawake muwe makini.
kuna mtu mmoja hapa hapa Dar es saaam alioa kabisa, akazaa na mtoto mmoja na mwanamke asomfahamu...kuna siku moja yule mkewe akamwambia, leo nataka uwahi kurudi nyumbani mapema sana, kwasababu nataka kuja kulala kikwetu...jioni ilipofika, yule mwanamke akamwambia sasa ni muda wa mimi kulala kikwetu...mwanaume akawa anacheka tu akifikiri anamtania labda ni manjonjo ya mahaba...ebwanaeee, akastukia mwanamke ameaa kichwa chini miguu juuu inaeekea darini, ameshikilia vidole tu kwa chini na haanguki wala nini...bifu la kuchanganyikiwa na kuzirai lilipoisha, ndo ilikuwa mwisho wa ndoa hiyo na mwanzo wa kupotea/kuyeyuka kwa hilo jini mtu pamoja na mtoto wake ambaye lilimuua kwa kumchinja kabisa...akaondoka naye kwenda kuzimu...

pale magomeni kuna majini mengi sana, wanavaa ushungi mweusi ni wazuri sana, na wanavutia..wachawi wengi wa kiislam huwa wanayaoa, yanawajengea na nyumba, wanaishi nayo...shehe wa msikiti, au imam au mtu yeyote aliyebobea kwenye elimu ya kiisam, lazima aoe jini, achiia wake wengine wengi...hii kitu inajulikana kabisa...
 
Tha tha hii si hatari?
 
Kwenye mawindo yangu wakati wote nina kamfupa ka kitimoto kwenye walet yangu. Majini hayana nafasi kabisa kabisa na Mchungaji
Mchungaji unatufundisha nini kondoo wako?ila washauri kaka zetu wale wasiofika kwenye ibada wabebe vimfupa.
 
1.hakuna mwanamme asietaka binti mrembo.
2.kulikwepa jini,ni kazi kubwa labda lisikupende
 
Mchungaji unatufundisha nini kondoo wako?ila washauri kaka zetu wale wasiofika kwenye ibada wabebe vimfupa.

Mafuta ya kitimoto ni kinga kubwa! Hata wewe wale wenye majini akina kaka mahaba dawa yao paka mafuta ya kitimoto
 
Nafikiri hii inasaidia watu kuwa na adabu...sidhani kama huyo rafiki yako atawaza tena kujichukulia mwanamke yeyote barabarani...!
 
rev masanillo kasema dawa yao ni kitimoto au ndio maana waislam hawapendi kitimoto wasije wakakorofishana na hayo majini?
 
rev masanillo kasema dawa yao ni kitimoto au ndio maana waislam hawapendi kitimoto wasije wakakorofishana na hayo majini?

Swadata! Hawataki achana na majini ndo maana hawataki kiti moto
 
Nafikiri hii inasaidia watu kuwa na adabu...sidhani kama huyo rafiki yako atawaza tena kujichukulia mwanamke yeyote barabarani...!

mbona alikoma .................................. ila dada hata wewe una uso mzuri sana jinsi ulivyo hata ukiniambia ni jini naweza nikajitoa mhanga
 
Originally Posted by Rev Fr Masanilo

Kwenye mawindo yangu wakati wote nina kamfupa ka kitimoto kwenye walet yangu. Majini hayana nafasi kabisa kabisa na Mchungaji

...????????Well...atleast unajali usalama wako!

kuna mmoja kasema kuna jini kafri linakula hadi kitimto
 
Originally Posted by Rev Fr Masanilo

Kwenye mawindo yangu wakati wote nina kamfupa ka kitimoto kwenye walet yangu. Majini hayana nafasi kabisa kabisa na Mchungaji

kuna mmoja kasema kuna jini kafri linakula hadi kitimto

Jini Kafri dawa yake ni pua ya kiti moto hasa supu yake
 
mbona alikoma .................................. ila dada hata wewe una uso mzuri sana jinsi ulivyo hata ukiniambia ni jini naweza nikajitoa mhanga

Hahahaha.....unafurahisha kweli Dr wa ukweli. Unatoa tahadhari wakati wewe mwenywe jaribu linaweza kukushinda....pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…