Uchaguzi 2020 Tahadhari muhimu kwa CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Tahadhari muhimu kwa CHADEMA na ACT Wazalendo

Kila mgombea ubunge agakiki mfumo wa mawasiliano toka kila kituo kwenda kwenye kata na jimboni na taifani. Najua mawakala hawataruhusiwa kuwa na simu lakini tafuteni njia mvadala ya kuhakikisha mawasiliano yanakuwepo. Agenda ya Nguvu ya uma iwe on place kwa sababu kuna kila dalili ya uhujumu. Andaeni umma. Ccm ni wachezaji, ni refa, washika vibendera, na makamisaa. Msiamini kabisa system.
Shukrani kwa ushauri wenu. Tunayazingatia haya
 
Uongo uongo, unafiki unafiki, uzandiki na ufitinishaji, hakuna lenye ukweli hapo na hii tabia sio nzuri kufitinisha vyombo vya dola na wananchi, huu ni zaidi ya uhaini kwa taifa.
 
Unawaagaza Haya Wakati Weshashindwa uchaguzu Magu kaivuruga Kaskazini Hawaamini
Ndo Hawa mnawategemea kujaza mikutano, maagizo kwa walimu,manesi, Askari n.k

Muda ushaisha, iwe jua iwe mvua CCM mnapigwa asubuhi tu.

FB_IMG_1601898300044.jpg
 
Duh haya majibu hayana swali la nyongeza!! Mkuu mbona umechafukwa namna hii? # ni yeye2020#
 
Waache wajitishe tuu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Tunawashukuru kwa kushiriki
View attachment 1609046
Kutafuta kura milioni 7 ndio kumfanye mtu arisk kuchungulia futi 6 chini!?

Tafuta hata mtu mmoja wa CCM aliyepo ngazi ya wilaya mliye na ukaribu naye halafu muulize hali halisi ilivyo.
 
Jambo la msingi ni kwa wanachama wote kuwahi kumi kamili za usiku na kuendelea kukaa eneo hilo mpala kumi usiku wa matokeo.
Ndio maana halisi ya hakuna kulala.

CCM wanajua utamu wa madaraka na utamu wa kodi za maskini wa nchi hii.
CCM wanatumia mapesa kwa mamilioni waliyoyapata kwenye madaka hayo hivyo hawaoni shida kutumia pesa ili wapate pesa.
Ningependa wale maaskofu wa kamati ya amani nao wangeomba kusimamia ili waone wenyewe jinsi dhulma inavyoishi Tanzania kwa raha.

Ni vyema maombi dua na kila aina ya sala zikafanyika kuwalaani waovu wanaosimimia uchaguzi kwa rushwa na dhulma wapate laana na vizazi vyao ili Tanzania iwe salama.

Lakini pia watu wamweombe Kungu ili awajaze watanzania wapenda haki ujasiri mkubwa wa kukataa na kuwakataa waovu wote kwa nguvu zote.
Na pia kwa sababu jeshi la wananchi ni kati ya wananchi wanaotambua uonevu na dhulma za Jeshi la Polisi basi wasije wakaingia kwenye mtego wa polisi wa kuwaua ndugu zao kwa sababu ya polisi kupata ahadi za madaraka kama uOCD ,uRpc Urco na na vyeo vingine vinavyowapa maslahi.
Jeshi la wananchi lisikubali kuvuruga amani kwa sababu ya wanasiasa wanaotaka kubaki kwenye madaraka ili wazidi kula kodi za watanzania baada ya kukataliwa.
 
Kuelekea uchaguzi wa tarehe 28 naomba Chadema na ACT Wazalendo mchukue tahadhari muhimu

1) Kuhusu mawakala wenu, wajiamini, wawe makini na matukio yote, wawe wenye uzalendo maana pesa nyingi zitamwagwa siku hiyo. Pia wawahi mapema sana kabla ya saa moja maana mbinu chafu zinapangwa kutumika mapema sana asubuhi!...
Ushauri mzuri,piakuna ushauri wa kigogo kashautoa!! Kabla ya kufika tar 28 inabidi makatibu na wenyeviti wa majimbo wa act/chadema wafatilie vituo hewa vyote! na pia lazima wawe na tallying center za kila kata-jimbo-mkoa(summation) ya mkoa ndio inaenda makao makuu ,hii itasaidia kujua jumla kuu ya vituo halali tu ,kisha mnafanya comparison ya kura na NEC katika ngazi ya jimbo ,zikienda tofauti tu na idadi halisi ,hapo inatakiwa ACT/Chadema waweke online matokeo yote nchi nzima ambayo ni halisi ,wakishaweka sisi tutajua cha kufanya!!

Kama NEC wakichakachua tunakinukisha kama GUINEA na NIGERIA.
 
Back
Top Bottom