fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
Shukrani kwa ushauri wenu. Tunayazingatia hayaKila mgombea ubunge agakiki mfumo wa mawasiliano toka kila kituo kwenda kwenye kata na jimboni na taifani. Najua mawakala hawataruhusiwa kuwa na simu lakini tafuteni njia mvadala ya kuhakikisha mawasiliano yanakuwepo. Agenda ya Nguvu ya uma iwe on place kwa sababu kuna kila dalili ya uhujumu. Andaeni umma. Ccm ni wachezaji, ni refa, washika vibendera, na makamisaa. Msiamini kabisa system.