Tahadhari: Mwanaume aliyelelewa na mama tu sio mzuri sana kwenye kupanga naye mikakati kama wanaume

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine.

Nikaanza kumchunguza back ground ya malezi yake nikagundua amelelewa na Single mother,sasa huyu anatabia kwa asilimia nyingi na wale watoto wakiume ambao wamelelewa na Single mother.
unajua siwalaumu watoto wa kiume wanaolelewa na Single mother kwasababu hawajajitakiwa inatokea ila nimeona niweke tu kama tahadhari fulani.

Kijana huyu kwasababu amalelewa na mama,yeye kwenye akili yake na imani yake anaamini ushauri wa mwanamke ni bora na sahihi kuliko ya mwanaume

Unaweza ukapanga naye mkakati akikutana na ushauri wa mwanamke,mke wake au mama yake atachukua na kuifanyia maamuzi kuliko ushauri ambao mmeshauriana kama wanaume.
 
.
20240108_081354.jpg
 
Yaani niache kumsikia mama yangu nimsikie jamaa tu niliyekutana naye ukubwani tena labda kwenye starehe...hujanipata bado...mali za mama yangu ni zangu na mali zangu zaweza kuwa zake...ila mali za rafiki sio zako asilani ni za watu wa kwao..1
 
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine.

Nikaanza kumchunguza back ground ya malezi yake nikagundua amelelewa na Single mother,sasa huyu anatabia kwa asilimia nyingi na wale watoto wakiume ambao wamelelewa na Single mother.
unajua siwalaumu watoto wa kiume wanaolelewa na Single mother kwasababu hawajajitakiwa inatokea ila nimeona niweke tu kama tahadhari fulani.

Kijana huyu kwasababu amalelewa na mama,yeye kwenye akili yake na imani yake anaamini ushauri wa mwanamke ni bora na sahihi kuliko ya mwanaume

Unaweza ukapanga naye mkakati akikutana na ushauri wa mwanamke,mke wake au mama yake atachukua na kuifanyia maamuzi kuliko ushauri ambao mmeshauriana kama wanaume.

Obama kalelewa na mwanamke. Unacho kipi wewe ndugu, kumpiku?
 
Obama alilelewa na Baba yake, akalelewa na babu na bibi yake! The Role of a Man, was there! Ikitokea mtoto baba yake hayupo, wazazi watafute "mtu" biblia inakwambia mtu ni mwanaume, atakaye cheza role hiyo! Babu, mjomba, shemeji, nk
Kheri mtoto wa kike alelewe na Mama yake kuliko mtoto wa kiume!
 
Acha kuwafananisha wanaume wote waliolelewa na mama tuu na uyo jamaa ako asie na misimamo. Angekua amelelewa na wazazi wote ungekuja apa kupost na sababu gani?
 
VVp
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine.

Nikaanza kumchunguza back ground ya malezi yake nikagundua amelelewa na Single mother,sasa huyu anatabia kwa asilimia nyingi na wale watoto wakiume ambao wamelelewa na Single mother.
unajua siwalaumu watoto wa kiume wanaolelewa na Single mother kwasababu hawajajitakiwa inatokea ila nimeona niweke tu kama tahadhari fulani.

Kijana huyu kwasababu amalelewa na mama,yeye kwenye akili yake na imani yake anaamini ushauri wa mwanamke ni bora na sahihi kuliko ya mwanaume

Unaweza ukapanga naye mkakati akikutana na ushauri wa mwanamke,mke wake au mama yake atachukua na kuifanyia maamuzi kuliko ushauri ambao mmeshauriana kama wanaume
Vp kuhusu Prof Ben Carson?
 
Ni kweli waliolelewa kimamamama huwa hawana misimamo,ni kubadilika badilika tu kila wakati,mnapanga hili kwenye utekelezaji kaja na lingine, Yaani ni kuyumbayumba tu!
 
Sifanyi mipango ya kibiashara na mtu hata siku moja

Mimi mifumo yote ya mali zangu na namna ya kupata maokoto iko kwa mama labda ile ya job tu..

Kuanzia ujenzi,kilimo,biashara n.k yote mama yangu ndo mshauri mkuu..wanangu tunakula nao tu bata
 
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine.

Nikaanza kumchunguza back ground ya malezi yake nikagundua amelelewa na Single mother,sasa huyu anatabia kwa asilimia nyingi na wale watoto wakiume ambao wamelelewa na Single mother.
unajua siwalaumu watoto wa kiume wanaolelewa na Single mother kwasababu hawajajitakiwa inatokea ila nimeona niweke tu kama tahadhari fulani.

Kijana huyu kwasababu amalelewa na mama,yeye kwenye akili yake na imani yake anaamini ushauri wa mwanamke ni bora na sahihi kuliko ya mwanaume

Unaweza ukapanga naye mkakati akikutana na ushauri wa mwanamke,mke wake au mama yake atachukua na kuifanyia maamuzi kuliko ushauri ambao mmeshauriana kama wanaume.
Mnusuru kabla Hajawa upinde
 
Back
Top Bottom